Wa-irani wanajiskia vibaya,wanaona wanachafuliwa na RA

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Afisa mmoja katika ofisi za ubalozi za Iran amewahi bainisha kuwa wa-iran (Washiraz) wamekuwa na mahusiano mazuri na watanzania toka karne 9. Amesema washiraz walishiriki katika kuikomboa Zanzibar ( kumbuka muunganiko wa waafrika na washiraz - Afro Shiraz Party).

Anasema mshiraz huyu RA anawaweka pabaya akichafua historia yao nzuri katika upwa wote wa Afrika Mashariki. Afisa huyo anasema ufisadi wa RA unawaumiza vichwa saana.

Lakini mie,binafsi, najua kuwa hata waburushi wa Mbeya ( Igulusi, Ubaruku, Rujewa na Usangu kwa jumla) kwamba nao wana asili ya Iran. Na mauaji ya Polisi kwa raia wasionahatia huko Ubaruku mara zote huanzishwa na mburushi mmoja hapo. Mburushi huyu ameiweka serikali yote ya mkoa mfukoni mwake.

Hawa wachache wasichafue taswira nzima ya washiraz, washughulikiwe ili wajirekebishe.
 
Back
Top Bottom