Wa deme wa Tanzania!

Waschana wa Tz ni wa namna gani?


  • Total voters
    26
Status
Not open for further replies.
france kitu gani? anazani akisema katoka France ndio atapapatikiwa...watu wanatoka Mars na bado wanatongoza wanakataliwa....kaona akisema ni mwarabu ndio ishu....aende kwao huko Mombasa ndio atapata......pum*#%fu zake


Hivi ndo maana eeh?:A S 39:
 
Mambo Vipi! hii ni post ya kwanza kutoKea mimi. anyway, natoka france lakini na ishi dar kuanzia januari. kufika hapa niliona wa deme wenyu ni warembo sana! nataka kupata deme nzuri kumuita mwangu. lakini marafiki wangu mawili wakona opinions tofauti. wa kwanza alisema wa shosti wa Tz, or at least most of them, wana penda hella na ni ma golddiggers. alisema kwa hivyo wata vutiwa kwa mimi sababu mi ni mwarabu! hule rafiki mwingine anasema wademe hapa ni wazuri na ni sincere sana, yaani ukiingia relationship na Wao, watakupa yoyote kwa relationship. sijui kuamini nani? sasa as a general question na muliza waTanzania, nani kwa marafiki wangu wako correct? tafadhali semehe kiswahili changu! nilikuwa hapa kwa miezi sita tu, bado najifunza!

Shame on u.... u Arabs disgusts me....
 
Shame on u.... u Arabs disgusts me....
Take it easy, unajua hawa watu hata mimi wananikera sana maana wanajiona ni bora kuliko watu wengine, yaani ujinga tu umewajaa ila hata hivyo sio wote so please dont generalize hiyo itakuwa racism. NOt a good thing at all.
 
jamani tuache kupoteza muda na hii thread. Ni uzushi mtupu hakuna cha ufaransa wala mwarabu. The guy is not serious and he just want to waste our time. Tangu lini swala la kutafuta mwanamke likawa-handled hivyo. Kama huna cha kuongea kaa kimya usitupotezee muda na mada zisizokuwa na kichwa wala miguu, nadhani tumeelewana!!!
 
Wewe nawe bana, mbona hizo tabia na sifa bainishi zipo kwa watu wote bila kujali wanatokea wapi? Hizo ni sifa bainishi (traits) za kibinadamu. Mimi nimebahatika kusoma na kuishi na watu wa kutoka kila pembe ya dunia kuanzia Nepal, Peru, Albania, Armenia, Uingereza, Mauritania na kwingineko na nilichoona na kujifunza ni kuwa sisi kama binadamu kitabia kwa ujumla hatuna tofauti sana. Na hapa nazungumzia tabia kama kusema uongo, ulafi, kupenda hela na vitu vya gharama kubwa, kupenda matanuzi, na mengineyo kama hayo.

Sasa hii ya kuja na kusema kwamba mademu wa Kitanzania wako hivi au wako vile wakati hizo tabia ziko hata kwa watu wa mataifa mengine si haki (not fair). Cha kuzingatia wewe tafuta wako anayekufaa na unaweza ukampata sehemu yoyote ile hapa duniani. Si lazima iwe Tanzania au Ufaransa. Mambo ya stereotypes achana nayo. Ku stereotype watu ni ujinga.
umempa ukweli kaka nimependa comment zako
 
halafu nilivyo ona wademe nikafikiri ni aina ya chakula kipya cha kiarafu kumbe watu wanajadili mademu:pound::pound::A S tongue:
 
angalia kiswahili chake tu halafu utapata jibu..angalia aina ya post yake tu utaona haina akili..inafanana na zile za mashada.com,...angalia akili ya mtu anayeandika...halafu anasema anatoka france, na ni mwarabu....jamani jamani...kwani mwarabu ana nini...france ina nini....acheni ukoloni....acheni uzinzi.....JF ni pahala pa watu wenye akili za kuleta mada za maana...si brabra za kimashadamashada hapa...
 
imagine ukienda kenya, mtu wa aina hii atakudispise na kukuambia mtz hauna akili, hauja soma..ni mbumbumbu..na akili ya namna hii..hahaha.
 
Take it easy, unajua hawa watu hata mimi wananikera sana maana wanajiona ni bora kuliko watu wengine, yaani ujinga tu umewajaa ila hata hivyo sio wote so please dont generalize hiyo itakuwa racism. NOt a good thing at all.
ahhh we niache tu bro i didnt mean to generalize but I am referring to the majority here... they shame me honestly... huyu (Minor Threat) bora asirudi tuu humu...
 
Jo wote ako wrong, kwa vile hakuna kitu kama 'TABIA YA WADEME ya TZ'. Iko hivi wewe tafuta deme halafu kama amekunokisha ndo utafute Watz wanaomfahamu uwaulize wakujuze tabia yake.
 
acha uzushi wewe mademe ndo nini, we mwenyewe mtu wa msumbiji halafu una dai mwarabu huna lolote
:mad2:
 
unauliza ndevu kwa osama???
unategemea tutajisema hapa ,sie wasichana wa Tz ni magold diggers??? mweh!:twitch::twitch:


Wewe unatoka S'wanga....! Na kama hatusemi ukweli hapa, how can get facts? Otherwise, we will remain making wrong decisions forever...! So, kwa mujibu wa maelezo yako, you are an evidence of dishonest...!
 
Mwambie huyo aelewe, kweli kabisa.
Aint goldiggers in Tz? u want a deme go get one the rest utajua huko huko, u hear me???
 
weewee acha ujinga na we si mwarabu ni una njaa nyingi ya ngono na ndo inakufanya udanganye watu kwamba we ni mwarabu kwanza nyie ndo mnawafira dada zetu kumbuka mwanamke alishalaaniwa kwamba mume atamtawala so nyie hasa wewe unayejiita mwarabu koko mnawafira chunga sana wewe bwana mdogo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom