Wa afya tulokosa

Pole, vuta subira kidogo kwa mwakani japo muda unazidi kusonga na maisha yanazidi kuwa magumu.Ila tambua bila Kuhonga au kujuana kupata nafasi itakua ngumu sana.
 
Pole, vuta subira kidogo kwa mwakani japo muda unazidi kusonga na maisha yanazidi kuwa magumu.Ila tambua bila Kuhonga au kujuana kupata nafasi itakua ngumu sana.

Tz hii bora uhonge upate haki yako ya msing, lkn la si hivyo..wanyonge hatuzipat
 
Pole, vuta subira kidogo kwa mwakani japo muda unazidi kusonga na maisha yanazidi kuwa magumu.Ila tambua bila Kuhonga au kujuana kupata nafasi itakua ngumu sana.

Hamna mambo ya kuhonga bhana! Ucmkatishe tamaa mwenzako.
Mbona dogo langu kachaguliwa na hakuhonga kitu chochote kile!
Mcsikilize non-slogan za wa2!
 
Hamna mambo ya kuhonga bhana! Ucmkatishe tamaa mwenzako.Mbona dogo langu kachaguliwa na hakuhonga kitu chochote kile!Mcsikilize non-slogan za wa2!
Mkuu, ndomana nmesema bila kuhonga au kufanyiwa mpango kwa kujuana itakua ngumu sana kupata nafasi ila cjasema huwezi kupata nafasi bila kuhonga...Me pia kuna watu wengi nnafahamiana nao wamepata nafasi kwa kuhonga/kujuana huku applicants wengine wenye criteria nzuri wakikosa nafasi kwa kutofanya mchongo.So, unapofanya mchongo unakua na nafasi kubwa ya kufanikiwa.
 
Fungua kila chuo(basing on course u requested) tafuta jina lako
 
Ushauri jamani hapa katikati hadi mwakani kunavyuo vingine?lakini Kanda ya kati wamebandika milembe.
 
Jaman bac nisaidien kama jina la feby lucas kwa kanda ya mbeya kama limetokea maana kwangu imekuwa inazngua,,msaada tafa
 
Back
Top Bottom