W.malecela V/S S.Banji.

s. Banji ni mbunge wa afrika mashariki. Kifutu wiliam malecela ni ombaomba mzoefu hapa jijini dar.. Ni mpga mizinga maarufu usiombe ufahamiane naye

- utalia kila kona ya dunia, nimekwambia shida yako kuwa na boyfriend mtoto wa kiongozi mbona wapo sana facebook kwani ilikuwa lazima niwe mimi tu, watu wanaokujua walinionya mapema na ninamshukuru sana mungu kwamba nilikuwacha mapema sana, mtumzima elimu kubwa lakini kichwani wadudu, pole sana imetoka hiyo tafuta wengine!! Utalia kila mtandao, utawaaandikia wasichana wote wanaonijua, utawapigia sim wasichana wote duniani lakini sina mpango wa kukurudia, kama siku ile city sports lounge uliona nilikupita kama sijawahi kukuona, maaana sijawahi kuwa na mwanamke wa namna yako before!!

Siku njema nipo obey saa izi nafganyisha fungraising ya kusaidia watoto wa yatima dodoma, kuacha kazi zangu mbali mbali ninazofaanya hapa mjini waulize wanaojua vizuri bisahara ya blogs wakwambia ninakusanya hela ngapi kw asiku toka kwenye ads tu!! Pole sana!!

- next time ukipata mwanaume kwua na heshima naye, utapendwa sio kunywa mipombe kama unaytaka kufa!!

Le biig shoow!!
 
aise nimeipenda hii.
 
Majibu ya W J C Malecela yanaonyesha ni jinsi gani alivyo kama anavyosimuliwa na wana jamvi. Maana mitusi anayorusha tena kuhusiana na mambo binafsi ni ushahidi kuwa hafai kisiasa kijana huyu hata kama ni mtoto wa mkubwa. Kweli jamaa ni gamba la kutupwa. Sioni lugha ya kiongozi kwenye maandishi yake. Mwanangu badilika. Umeishi nje tena jijini New York lakini mambo yako utadhani imetoka leo Mvumi! Jirekebishe mwanangu hata kama una jina kubwa. Ukubwa wa jina si ukubwa wa sifa.
 
Mkuu jana niliona kwenye thead unamchana sana CCM- MAMA naona na Hapa unachapa tena MKOLONI vipi tena Le Baharia haha ha kumbe na ile blog inakutoa safi sana...SOROWENYU?
 
- utalia kila kona ya dunia, nimekwambia shida yako kuwa na boyfriend mtoto wa kiongozi mbona wapo sana facebook kwani ilikuwa lazima niwe mimi tu, watu wanaokujua walinionya mapema na ninamshukuru sana mungu kwamba nilikuwacha mapema sana, mtumzima elimu kubwa lakini kichwani wadudu, pole sana imetoka hiyo tafuta wengine!! Utalia kila mtandao, utawaaandikia wasichana wote wanaonijua, utawapigia sim wasichana wote duniani lakini sina mpango wa kukurudia, kama siku ile city sports lounge uliona nilikupita kama sijawahi kukuona, maaana sijawahi kuwa na mwanamke wa namna yako before!!

Siku njema nipo obey saa izi nafganyisha fungraising ya kusaidia watoto wa yatima dodoma, kuacha kazi zangu mbali mbali ninazofaanya hapa mjini waulize wanaojua vizuri bisahara ya blogs wakwambia ninakusanya hela ngapi kw asiku toka kwenye ads tu!! Pole sana!!

- next time ukipata mwanaume kwua na heshima naye, utapendwa sio kunywa mipombe kama unaytaka kufa!!

Le biig shoow!!
Le mutuz naona umemfungukia nungayembe huyu maana amezidi wewe mwanzoni si alitaka wazungu hehehehhehe
 
- hA! HA! HA! HA! HA! UNANIVUNJA M,VUU SANA MKUU!! HA! HA! HA!

BIIG SHOOW!!
_MG_8418.JPG
mwiru+5.jpg

William Malecela, hii mitindo ya kujiachia na vimwana ulijifunzia wapi? Au kule New York City ulikuwa mpenzi wa kuhudhuria vikao mahsusi vya
Go go Bar? Maana hii ndiyo ya huko hapa kwetu kitu kama hii si ya kawida kwa ustaadhi Malecela. Lakini kipenda roho ndio dawa kaka Malecela.
 
Majibu ya W J C Malecela yanaonyesha ni jinsi gani alivyo kama anavyosimuliwa na wana jamvi. Maana mitusi anayorusha tena kuhusiana na mambo binafsi ni ushahidi kuwa hafai kisiasa kijana huyu hata kama ni mtoto wa mkubwa. Kweli jamaa ni gamba la kutupwa. Sioni lugha ya kiongozi kwenye maandishi yake. Mwanangu badilika. Umeishi nje tena jijini New York lakini mambo yako utadhani imetoka leo Mvumi! Jirekebishe mwanangu hata kama una jina kubwa. Ukubwa wa jina si ukubwa wa sifa.
 
Mgombea ubunge angepata ndio anaonyesha namna angekuwa anawakilisha taifa.
 
KUFANANA:

- Wote Opportunists
- Wote watafutaji wa hela wazuri (wanatofautiana jinsi wanavotafuta)

TOFAUTI

- Mmoja anafanya, mwingine anafanywa
- Mmoja mbunge wa EALA mwingine hajaupata
 
Nadhani haya ndiyo aliyosema Paschal Mayala kuwa kuna mambo tunatofautiana sana na William.
 
Watching their EA MP Candidacy plea clip I should admit you can't compare those two. When shy-Rose speaking she sound so mature and confidante than William and she did answer question very well . Compare her with William Malecela is such a waste of space since she is far better and their no comparison between them.

- I am just having a lot of fun with my life the problem is you don't have a life as I do, so keep on crying baby! ha! ha! ha! It might help you may be! ha! ha! ha! may be JF might help you!!

- You have to be a Waste of space in the first place in order to figure out others like yah! ha! ha! ha! that is one of the principle of investigations key, your childish words speaks a volume to me that you are a waste of space!! ha1 ha! ha!!

Biig Shoow!!
 
Back
Top Bottom