W.malecela V/S S.Banji.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Ni nini tofauti kati ya watu hawa wawili ukitoa kwamba wanajinsia tofauti na mmoja ni mbunge?
 
S. banji ni Mbunge wa Afrika mashariki. Kifutu wiliam malecela ni ombaomba mzoefu hapa jijini dar.. Ni mpga mizinga maarufu usiombe ufahamiane naye
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Wote ni magamba na wapenda makuu. Wote hawana ndoa. Wote wanatia shaka hasa kwenye sifa zao za uongozi. Wote ni let down kama tutazingatia misingi ya uongozi.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Back
Top Bottom