W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

- Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

William @Dodoma City!

Acha dharau unaposema aliamua kujibanza, waTz wengi wanishi kama anavyoishi Mpendazoe, kujibanza ndiyo hapo ilipotufikisha CCM, wewe unafaidika na mfumo wa CCM ndiyo maana unaongea kuwa Mpendazoe anajibanza. Mwanzoni nilidhani kuwa busara ipo kumbe ni walewale tu tofauti ni majina
 
I dont trust William....

He is not stable, he is just one of those dudes who would do anything to get something and change the goal posts just to fit a new interest regardless of any impact or rist assessment

KWA SASA ANAHANGAIKA BUNGENI NA MAPICHA-PICHA KAMA VILE TUNAOPIGA KURA NI JF

UNFORTUNATELY SIASA ZA TANZANIA, NA HASA ZA WABUNGE WETU WA SASA NI HIZO ZA KINA ISHA MASHAUZI NA SHILOLE

I love this post, i would give me self a "like"
 
- Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

William @Dodoma City!
the would be EALA rep... kaenda "kujibanza" Dodoma na Segerea

Wallahi :pizza:
 
Malecela km ukweli toa lkn usimpige askari mwenzako mstari wa mbele, wengi wa waliokupigia kura 40 ni marafiki tu hapo Bungeni zilizopeperuka ni km hizi na ya Lusinde na wengine walioziona picha ulizo-tag kwenye Facebook kuhusu kudadeki ile ni kumuunga mkono adui / traitor kwamba apige wapi atashinda
Wakishakujua hawakupi silaha na utarudishwa backline uwe km Millya usiku mwema
 
Comrade Willy, let us call a 'spade' a 'spade', and a 'spoon' a 'spoon' and not otherwise! I am impressed by the way you responded to some of the questions in this thread! I am also impressed by the way you took the punches in the election (EALA) and the way you received the results. If I am asked what went wrong, I will tell you in a summary, 'you needed to do more than that- you were 'disconnected to the reality'! You were on a similar level with Mitt Romney - you were not connected to voters and the EAC issues, yes-you are thinking globally, but need to act locally/regionally! Yet I will say, you have demonstrated 'Enough MATURITY AND ACTED AS A GREAT THINKER! I, the RabidDog salute you! I say 'Well done' in capital letter!

But: don't run back to 'District of Colombia' as of now! Let us kick-start the process to design strategies for 2015/6! 4U, it is first for Mtera in 2015 or if not then EALA again in 2016! I am also now thinking regionally and this lead me to EALA in 2016!

Big Up all KAMANDA
 
.... William Malecela, huyu ameshindwa hata kuiongoza familia yake mwenyewe sasa nashangaa kuona mnapoteza muda wa kumfikiria kuwa Mbunge.

Mkuu, hebu mwaga ushahidi wa hili unalosema hapa jamvini.
 
Willy, you need to stand and think at your own. Kutegemea misimamo au mafanikio ya wazazi kupata imani yetu unakosea sana. Viongozi wote wa CCM waliofanya kazi wakati wa mageuzi ya kiuchumi, hawana cha kujivuna mbele ya umma kwa kuwa hatukuwahi kuwasikia kukemea au kupinga hadharani wakati mambo hayaendi sawa, si serikalini au ndani ya CCM.
Ukiendelea kutegemea umaarufu wao ndani ya CCM au Serikalini huwezi kufanikisha malengo yako kisiasa kwani wamechangia kukua kwa ufisadi na kudumaa kwa maisha yetu.
 
- Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

Sijui mambo gani aliyo yafanya mbunge wa Segerea zaidi ya kula posho tu
 
Back
Top Bottom