W/end iliyopita uliangalia movie gani?

Assassination Games
Kill The Irishman (Hii huwa hainiishii hamu ya kuiangalia)
Jumping The Broom (Hii nayo huwa naioniishii hamu ya kuangalia)
Wall Street Money Never Sleeps
Repeaters
The Hit List (Hii naikubali Sana Cuba Gooding Jr amecheza vizuri sana)

ha ha h......hebu jaribu Crazy, Stupid love, Hall pass na Change up......hizi ni kwa sasa....
 
Wiki iliyopita nilifanya kosa kuanza kuangalia the hangover part 2
Inabidi week end hii niangalie ile yakwamza
 
Wiki iliyopita nilifanya kosa kuanza kuangalia the hangover part 2
Inabidi week end hii niangalie ile yakwamza

ha ha....wale jamaa wajinga sana......utakufa mbavu ukiona hiyo part 1

a president to remember,sex crimes unit,liar liar,half backed,cool runnings,my blueberry nights,aliens in the attic.
jana niliwahi kurudi home niliangalia ..the beauty hunter.
 
weekend iliyopita ( ofcourse jumapili) niliwatch take me home tonight na africa united. na kapilau kidooogo
 
aah mi naangalia mfululizo wa C . S. I New York na Horatio Caine on A.X.N yaani ni full raha kudadeki!!
 
Hahahaha!! Hommie umepotea sana maeneo yetu...aisee italian job naikubali sana ngoja niitafute tena niicheki

Niko nje kdg kaka, nadhan next week narud, hopeful ijuma tutakua pamoja 'palepale', just make sure, RR na Mwj1 bila kumsahau Babu wanakuwepo ili nisiboreke.

BTW
My fav actor kiukwel n Denzel, kuna muvi ka act yaitwa Antwone Fisher, nishaitafuta sanaa kwa libraries bila mafanikio, niliiona once, and for sure ni moja ya muvi ambazo zilinivutia sana, i wish niione tena, kama kuna mtu anayo au anajua wapi nitaipata, tafadhali, msaada tutani.
Thanks.

http://en.wikipedia.org/wiki/Antwone_Fisher_(film)
 
Niko nje kdg kaka, nadhan next week narud, hopeful ijuma tutakua pamoja 'palepale', just make sure, RR na Mwj1 bila kumsahau Babu wanakuwepo ili nisiboreke.

BTW
My fav actor kiukwel n Denzel, kuna muvi ka act yaitwa Antwone Fisher, nishaitafuta sanaa kwa libraries bila mafanikio, niliiona once, and for sure ni moja ya muvi ambazo zilinivutia sana, i wish niione tena, kama kuna mtu anayo au anajua wapi nitaipata, tafadhali, msaada tutani.
Thanks.

Antwone Fisher (film) - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu nimeiona hii movie imetuli sna, ukipita mitaa ya jamaa wanao uza movie collection za mchina ukiwaambia nataka collection ya denzel lazima utaipata hapo, ninayo sema watoto wamekwangua cd haionyeshi tena
For me the best part ni pale kijana alipokuwa mkaidi kujibu, basi akampa ratiba ya kuja kumkanseli lakini akiingia hamuulizi kitu anaendelea na shughuli zake, ilibidi dogo aongee tu
 
Nshazunguka sana na kununua collection zooote za Denzel siikut ndan..may b sina bahati..imrad ka' ww uliikuta basi inshallah na mie iko siku ntaifuamania...muv iko very inspiring na ina mafundisho mengi sana.
 
Wikend hii nataka kurudia kucheki 'The Pursuit of happyness' ya Smith, natafuta morali wa maisha aisee, manake kila siku asaval ya jana.
 
Back
Top Bottom