Pole,. Ndo ilidumu mkuu?Jamani vijana na wangu siku hizi mna hard time sana!!! Hawa wako katika biashara au ndiyo kawaida, it is too hurting to see them half naked ehhhhh. It needs a heart!!! Nisije nikakutana na picha ya sister, cousin, niece!!!! Maajabu ya dunia!!! Ndoa zitadumu kweli namna hii!!!??