vyuo zaidi ya 17 vimebainika kutoa taaluma ya uuguzi na ukunga chini ya kiwango bongo

indigwe

Member
Feb 5, 2010
31
0
jamani vyuo karibuni vyote mnavifahamu kana vya msimbazi, kibamba na vinginevyo vimebaini kutoa taaluma hiyo kinyeme cha sheria na ndo tayari vimeshazalisha wataalamu feki je tutapona katika masuala ya afya ya uzazi na huduma za mama na mtoto
 
Back
Top Bottom