Vyuo vya ualimu grade A!

Chizy Za kitaa

Senior Member
Jan 7, 2014
167
13
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
 
vyuo vya private vya grade A singida ttc, lake ttc ,st benard(vyote viko singida),capital(dodoma),kibamba(dar) na vingine mnaweza kuongezea
 
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!

On top of that, wizara ya elimu inatoa lini nafasi za kuomba kujiunga na vyuo hivi vya ualimu? naombeni kusaidiwa, na kama wizara haitoagi hizo nafasi, un apply kupitia wapi!? Natanguliza shukrani.
 
Soma fani zingine ualimu ajira hakuna kwa sasalabda kama unataka kujiajiri au ajira shule binafsi lakini serikalin kwa sasa hakuna ajira
 
Back
Top Bottom