Vyuo vya kilimo na mifugo tanzania

Kabodot

Member
Oct 8, 2012
13
1
Jamani naombeni mnisaidie vyuo vya kilimo na mifugo jinsi ya kuapply,na kama vipo vya private karo zao nishilingi ngapi? Naombeni msahada kwa hilo wakuu.
 
Kilimo kwa serikali ni 200000, mifugo 400000, uvuvi 750000. Nenda wizarani najua wametangaza sahizi uangalie utaratibu kama haujabadirika hasa kwa ada.

Pia kama umefaulu masomo ya wanaume kama Physics, Chemistry, maths au bios angalau kwa D mbili tu nenda Chuo cha maji pale ubungo wanachukua watu wa Diploma ambao wamemaliza f4 tu.

Angalia, deadline tarehe 15
 
Mbona wako kimya sana?

kwa upande wa mifugo vinajulikana kama wakala wa mafunzo ya mifugo, serikali kwa sasa inafadhili kama asilimia 40 tu ya wadahiliwa wote 60% wanaufadhili binafsi. Ada kwa ufadhili binafsi ni wastani wa shilingi millioni mbili kwa mwaka. Unakula na kulala chuoni.Vipo vya watu binafsi lakini sikushauri kwani unaweza usipate dozi inayohitajika!
 
Kilimo kwa serikali ni 200000, mifugo 400000, uvuvi 750000. Nenda wizarani najua wametangaza sahizi uangalie utaratibu kama haujabadirika hasa kwa ada.

Pia kama umefaulu masomo ya wanaume kama Physics, Chemistry, maths au bios angalau kwa D mbili tu nenda Chuo cha maji pale ubungo wanachukua watu wa Diploma ambao wamemaliza f4 tu.

Angalia, deadline tarehe 15

una maanisha nn kusema masomo ya wanaume?
 
Jaman naomba kuuliza Nina physicsD.chemiaD.bios C.englishD.naweza kupata vyuo vya kilimo na mifugo vya serikali
 
naomba niulize namimi wadau,nina mtu ambaye ana diploma ya masomo ya biashara kwa sababu ya mkakati maalumu anataka kusomea mifugo,na hajasoma masomo ya sayansi advance je anawezapata nafasi kwenye vyuo vya mifugo kwa udahili binafsi?
 
Kwan sayansi form four imekaje
 
Back
Top Bottom