Vyuo vya india vinavyotambulika na tcu....

Mani H

Senior Member
Mar 25, 2011
180
46
Waungwana naomba nisaidiwe kwa hili nataka nijue ni vyuo gani vya india vinavyotambulika na tcu au ni sifa gani wanazozitumia tcu kukitambua chuo kuwa ni sifa za chuo? thanks
 
Jibu zuri wanalo TCU wenyewe..unaweza ukaenda kwenye ofisi zao na ukaona hiyo list..pia unaweza fanya mawasiliano yao kupitia..TCU Website
 
Back
Top Bottom