Vyuo vingine kulikoni, mbona havitoi Majina ya waliochaguliwa?

Nashangaa mpaka Leo tar 27 baadhi ya vyuo havijatoa list ya selected
Ina maana bado wanafanya approval ???? Mbona vingine tayari
Huku sasa kutiana presha .....!
We jamaa kumbe mda mwingine unaposti vitu vya maana.
Mpiga era na HR666 Nyie wakuu siwasahau kamwe!!
 
Back
Top Bottom