Elections 2010 Vyuo vingi kufunguliwa baada ya uchaguzi

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Ninasikia vyuo vingi vya Tanzania hasa vikuu vitafunguliwa baada ya uchaguzi except SAUT ambao wanafungua kesho.
Implication
I. Vijana waliojiandikisha maeneo ya vyuo wasipige kula ambayo kwa mtazamo wa serikali ya CCM wengi watavipigia vyama pinzani hasa kwa machungu wanayoyapata vyuoni na kero mbalimbali
II. Kuchelewa kwa makusudi ili ela ya wanachuo izungushwe kwanza kwa shughuli either za chama au serikali au watu binafsi kwa kushirikiana na loan board
III. Kukiepusha hiki kizazi cha mapinduzi kuweza ata influence watu wanaokizunguka chuo ingawa hii inawezekana ata Makwao
My take:
Vyama vya upinzani ebu fuatilieni ili kwa makini ili isije tumika kama kisingizio cha CCM kushinda.
Kwanza kufuatilia wanachuo wengi wamejiandikisha wapi?makwao au vyuoni.
Kuna haja ya kufuatilia bse hiki ni kizazi ambacho angalau wengi wao wameamka!
 
Ulisafiri nini? Hili lilishajadiliwa sana hapa mwezi wa sita na saba. Tumia google ku search na utapata majibu yote.
 
I. Vijana waliojiandikisha maeneo ya vyuo wasipige kula ambayo kwa mtazamo wa serikali ya CCM wengi watavipigia vyama pinzani hasa kwa machungu wanayoyapata vyuoni na kero mbalimbali


kaka naona unatatizo la kuchanganya L& R... Neways ujumbe umefika! na ulishawahi kujadiliwa..
 
Back
Top Bottom