Vyuo vinavyofundisha ICT online Bongo

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakuu,kumbe hapa bongo hakuna chuo chochote kinachofundisha ICT kwa distance learning.Hii si itasanbabisha maendeleo ya ICT kutofikiwa haraka tz

Au labda mimi sijui,lakini watu wengine niliowauliza wanasema tanzania hakuna chuo kinacghotoa mafunzo hayo.(kusoma kwa kuelewa na kwa ajili ya ajira)
 
Chuo kikuu cha UDMS kwa kushirikiana na vyuo mbali mbali vya India kama Madras na Amity University wanatoa mpaka Masters za ICT so nenda katika web ya chuo hicho halafu uingie katika Virtual University utapata kila kitu.
 
Back
Top Bottom