Vyuo vikuu vya Afrika Kusini kutoa Shahada ya Uchawi

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,743
4,271
Waziri wa Elimu ya Juu wa nchini Afrika Kusini ametangaza nia ya Serikali ya kujumuisha Shahada ya Uchawi kwenye mtaala kuanzia mwaka 2018.

Akizungumza na wawakilishi kutoka Vyama vya wanafunzi nchini humo, Waziri alitangaza nia hiyo ya kushangaza na kuwahimiza wanafunzi watakaojiunga na Vyuo vikuu miaka ijayo kusomea Uchawi.

Tangazo hili lilipokewa kwa kelele za kuzomea na kurushwa kwa chupa kutoka kwa wanafunzi ambao walitegemea atangaze kutokupanda kwa ada za vyuo.

=======

The South African Minister of Higher Education and Training, Blade Nzimande has announced plans to have witchcraft included in the curriculum from 2018.

Speaking to representatives from student unions around the country, the minister announced the shocking move and urged future university entrees to consider taking Witchcraft. “There is a lot we can learn from witchcraft, like how they fly in that winnowing basket. Imagine if we learn that skill. It will eradicate traffic jams and everyone will just get in their basket and fly. It also means we will not be importing fuel anymore.” Blade said.

The announcement was met with boos and bottle throws from the packed auditorium who had gone to the meeting hoping the minister would announce a 0% fee increase for the coming year. The unperturbed minister also invited renowned witches to make an appointment with his office so they can have their skills tested and those outstanding would then be hired as lecturers.

He also invited witches from across the border, promising them permanent residents permits. “I spoke to Gibs (Minister of Home affairs Malusi Gigaba) and he agreed to issue witches from outside South Africa with permanent residence permits. I heard Malawi and Zimbabwe have an impressive collection of witches. We are hoping they will heed the call”, he added.

Applications is said to be closing on the 30th of September at midnight, after which an appointed panel with conduct interviews. There currently is an opening for 109 witches.


Source: LiveMonitor
 
Mbona nasikia eti Kigoma ndio lango la mambo yetu haya nchini?
Kila jamii na sayansi yake. Kumbuka hata historia inasema uingereza ndio nchi ya kwanza ku-industrialize lakini sasa hivi uhalisia ni kwamba Japan ,China na Marekani ndio leading Countries.Hii tumia kupata msimamo wa sayansi ya Sumbawanga na kigoma.
 
Afadhali serikali yao inatambua kuwa uchawi upo ! Huku bongoland tunataabishwa na wachawi ukilalamika unaambiwa utoe ushahidi, Hii ni sawa na kuwapa kibali cha kuloga kwa kigezo cha kukosekana ushahidi.Kwa ambaye hajalogwa au kuchezewa kichawi najua atapinga.
 
Umesahau sehemu inaitwa UKEREWE...sidhani kama kuna sehemu ulizotaja hapo zinaingia. Nilienda kikazi hata sikumaliza muda wangu nikafunga virago.
Hahaa... Pole mkuu kilikusibu nini tena

Hii inaitwa kupatwa kwa ghostryder.. Kama hadi wewe ghost umewezekana, sisi kina kapuku makaveli jr. Je!!!??? ...

Nilishawah kupata habar za ukerewe juu juu.
 
Hahahaha watu wanategemea utangaze ada inashuka wee unasema mambo ya uchawi hahaha lazima upate mawe
 
Umesahau sehemu inaitwa UKEREWE...sidhani kama kuna sehemu ulizotaja hapo zinaingia. Nilienda kikazi hata sikumaliza muda wangu nikafunga virago.
Ukerewe hawana lolote zunguka Tanzania hi ujionee nenda kuna sehemu inaitwa Nyasa karibu na Mbambabay mkoa wa Ruvuma,Ludewa ndani huko wanapima radi hadi za mia 5(ambako shoka iliungua mpini ukabaki),Tanga(pangani),Ngende(Mtwara) Makete ndanindani,Sumbawanga(kuna kijiji nimekisahau jina ambacho waliweka rekodi ya Mwewe kunyanyua ng'ombe alienona na rekodi Haijawahi vunjwa,Kigoma(Kibondo),Kyela mpakani mwa TZ na Malawi nk
 
Afadhali umewaita na Tena mshana Ana uelewa mpana juu ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya uchawi miaka ya 80 na timing alikuwepo tayari kaanzA kujua mengi kiundani. Aje kusema kitu
Wamevunja mwiko wamethubutu wameweza ni mwanzo mzuri ...soon na Tanzania tutafuata nyayo, kinachoniudhi tumepigwa bao na wazulu, tulipaswa tuwe wa kwanza kwakuwa tuna kila kitu kasoro utashi
 
Back
Top Bottom