Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!
Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.
Wewe kitaje tu kuwa ni Muslim University- Morogoro.
UDSM wana ARIS, UDOM pia wana ARIS, Tumaini Iringa nao wana yakwao sijui wanaiitaje, St. Augustine nao hivyo hivyo.