mercy mpossi
New Member
- Nov 25, 2011
- 1
- 0
Nataka kujua vyuo vitatu bora kwa kutoa degree ya sheria ha nichini
mkuu hoja yako ungeenda jukwaa la elimu.lakini kwa msaada ni kua mwanafunzi kama mwanafunzi yeye mwenyewe ndo atakua bora na sio amesomea chuo gani.kwa ufupi ni kua hawakufundishi sheria wanakufundisha were and how to find a law.they just facilitate you.haya mambo ya chuo gani ni bora bila kuangalia mwanafunzi anajua nini hachana nayo ni mawazo mgando.na hili ni kwa kozi zote sio sheria tu.hata kama ukienda kusoma law hapo HAVARD aliposoma mh Chenge mzee wa vijisenti still unaweza kutoka bado ukiwa mbabaishaji na huelewi.itabaki tu ooh Kichwa cha HAVARD lakini kwenye hoja sufuri.wewe zinduka kasome chuo chochote kama tu point za kukupeleka hukom unazo
kwa vigezo vp ulivyotumia?1. UDSM
2. Mzumbe University
3. Tumaini - Iringa
I concur with you 100%mkuu hoja yako ungeenda jukwaa la elimu.lakini kwa msaada ni kua mwanafunzi kama mwanafunzi yeye mwenyewe ndo atakua bora na sio amesomea chuo gani.kwa ufupi ni kua hawakufundishi sheria wanakufundisha were and how to find a law.they just facilitate you.haya mambo ya chuo gani ni bora bila kuangalia mwanafunzi anajua nini hachana nayo ni mawazo mgando.na hili ni kwa kozi zote sio sheria tu.hata kama ukienda kusoma law hapo HAVARD aliposoma mh Chenge mzee wa vijisenti still unaweza kutoka bado ukiwa mbabaishaji na huelewi.itabaki tu ooh Kichwa cha HAVARD lakini kwenye hoja sufuri.wewe zinduka kasome chuo chochote kama tu point za kukupeleka hukom unazo
How old are u?Mlimani shamba la bibi, Tumaini inaongoza kwa vilaza! St Augustine imejijengea heshima ya hali ya na nidhamu kubwa. Huwezi sikia migomo ya ovyo ovyo, watu hawana muda. Nenda utembelee liblary ya sheria, imesheheni vitabu uptodated. Na kwa taarifa ako, inaongoza afrk mashariki na kati. Kwakifupi ni centre 'n source of great thnkers!
kWA KUONGEZEA ELIMU YA JUU KAZI YA PROF NI KUKUSYSTEMITIZE JINSI YA KUIELEWA BASIC NA FRAME WORK YA KNOWLEDGE KWA 30% WEWE UNAISEEK 70% KWA DIRECTIVES ALIZOKUPA SASA UNAONA CHUO KINANAFASI NDOGO MNO KUKUCHANGE WW KAMA WW SI MTU MAKINI ,KIPIMO:JIULIZE WANASHERIA WONDERFUL WANAFOMULA YA WANAKOTOKA ?mkuu hoja yako ungeenda jukwaa la elimu.lakini kwa msaada ni kua mwanafunzi kama mwanafunzi yeye mwenyewe ndo atakua bora na sio amesomea chuo gani.kwa ufupi ni kua hawakufundishi sheria wanakufundisha were and how to find a law.they just facilitate you.haya mambo ya chuo gani ni bora bila kuangalia mwanafunzi anajua nini hachana nayo ni mawazo mgando.na hili ni kwa kozi zote sio sheria tu.hata kama ukienda kusoma law hapo HAVARD aliposoma mh Chenge mzee wa vijisenti still unaweza kutoka bado ukiwa mbabaishaji na huelewi.itabaki tu ooh Kichwa cha HAVARD lakini kwenye hoja sufuri.wewe zinduka kasome chuo chochote kama tu point za kukupeleka hukom unazo
Saint Augustine University of Tanzania kinaongoza, wanafunzi wengi wa sheria wanakimbia kwenda Udom na vyuo vingne!. Kwa mf walograduate mwaka huu ni 310 wakati wanaingia waliku 518! Vipindi vimebana hauna pa kupumulia.
Nataka kujua vyuo vitatu bora kwa kutoa degree ya sheria ha nichini
kWA KUONGEZEA ELIMU YA JUU KAZI YA PROF NI KUKUSYSTEMITIZE JINSI YA KUIELEWA BASIC NA FRAME WORK YA KNOWLEDGE KWA 30% WEWE UNAISEEK 70% KWA DIRECTIVES ALIZOKUPA SASA UNAONA CHUO KINANAFASI NDOGO MNO KUKUCHANGE WW KAMA WW SI MTU MAKINI ,KIPIMO:JIULIZE WANASHERIA WONDERFUL WANAFOMULA YA WANAKOTOKA ?