Vyoo uswazi vinatia kichefuchefu na ni balaa na hatari tupu

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,631
8,417
Wanangu uswazini vyoo noma nilifika uswazi kupata kinywaji tumbo lilishtuka ghafla nikaenda kuomba hifadhi nilipo iona nyumba ina bendera ya ccm na picha ya jk nikaona hapa nitasaidiwa nyumba imeshahabiana haswa na uswazi kwenyewe maana mlingoti wa bendera umeielemea nyumba karibu idondoke pambo lililo zuri pale ni picha ya mh inayo toa tabasamu elekezi Nilisikia zogo la walevi na harufu ya pombe Nikaona hayanihusu Baada ya kueleza kilicho nileta nikaelekezwa msalani Nilikaribishwa na mlango wa pazia La junia lenye viraka na harufu kali itokayo chooni Kuingia tu nikastushwa na choo ambacho unaona mpaka haja za leo leo kwa ujumla za nyakati zote Pembeni penye sakafu iliyo toboka toboka nikaona kimba kubwa fupi juu limechongoka kama koni Kushoto nikaona lingine limelala lina rangi ya papai na kondom zilizo tumika na mifuko ya ice cream Kulia yake ndio mzigo wa uhakika ni wa kijani mwanzoni na mix ya damu na kamasi kamasi plus gololi gololi Ukuta wa choo umeandikwa kwa mavi majina ya meli kama kishitobe falaline Na maandishi mengine yanasema iko siku tutashinda mwana Yule dingi zobaù£ääø Kona za mlangoni zimekuwa nyeusi kwa kukokona na vipande vya mawe na vipisi vya majunia na viroba na chupa za maji za uha nikashangaa bado najiuliza naona babu anaingia bila hodi ananiuliza unashangaa shangaa ninií£öýé kabla sijajibu mwenzangu esha vua kaptura yake yenye mkanda wa kamba ya mkonge kaanza kujikamua Sikuwa Na haja tena ya kujisaidia nikachimba huku mwili mzima unanuka HII NI TZ ILIYOCHOKA KWA KUCHOSHWA!
 
Na kama ungekaa kwenye shooting position ukatarget vizuri, unapodondosha bomu lazima uruke pembeni, maana utaona mlipuko wa bomu unakurudia na kuchafua barrel ya bomu! Take Care uswazi kuna Mambo!
 
Bora hivyo vya uswazi ambako mamjority hawajaenda shule. Nenda kajionee pale udsm kwa wasomi utaishiwa nguvu na kuanguka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ahsante nimefurahi kwa kuona mwaka mpya 2011. Kwi kwi kwi...mbavu za mimi eeee!
Kwani hiyo hali ni mara ya ngapi kuiona TZ?
Au ulizaliwa abroad ?
Huo ndio utamaduni wetu...pale TRC -DOM ya zamani kulikuepo mabehewa yameegeshwa nafikiri kwa kukosa nafasi au ni mabovu...lakini watu waligeuza ni chooni.
Haja zote zilikamuliwa hapo!
Tafauti ni ustaarabu...ndio maana twapenda kuwashauri watu wakimaliza kujisaidia haja ndogo au kubwa wanawishe...au kujisafisha.
Mazoea hayo kiasi fulani itaweza kupunguza.
Hilo ni tatizo ..Pole sana.
 
Hayo ndio maisha bora kwa kila MTanzania baba..... USISHANGAE SANA!!!!!!
 
We ulitegemea kukutana na nini??Au wewe sio mtanzania halisi?????

Nilichokiona Nyau ametuzidi maarifa kushusha kilo moja ya rojo ya inya kuijaza kwenye mfuko wa rambo na kuutupa kwenye mlango wa choo kweli raha Lizzy;!
 
Kwani wewe Mgen Unaishi wapi? mbona hayo tumezoea?

Kiraracha mbee tume-tumewasidi ujanja sisi tunaenda na jembe na bunzi la mahindi Kwansa ni mbolea swafi sana aika Mbee!
 
Uzuri wa Nyumba ni Choo, yakhe!
Na ulichoona ndio uzuri wenyewe ati!
 
Na kama ungekaa kwenye shooting position ukatarget vizuri, unapodondosha bomu lazima uruke pembeni, maana utaona mlipuko wa bomu unakurudia na kuchafua barrel ya bomu! Take Care uswazi kuna Mambo!

Oyaa mwana hivyo hivyo Tujipe pole ufumbuzi wa muda ni huu hapa Tanguliza gazeti la uhura mwana Huku mkono mmoja umebana pua dhidi ya harufu Mkono mwingine umekumbatia ukuta ili usidondoke Halafu muite mpiga picha upate picha ya kumb2 uone Na uonyeshe wajukuu! LAKINI iwe BAADA YA UKOMBOZI!
 
Bora hivyo vya uswazi ambako mamjority hawajaenda shule. Nenda kajionee pale udsm kwa wasomi utaishiwa nguvu na kuanguka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama ni kweli tutafute Wawekezaji wa kichina maana huko tuliko tegemea sasa kumekuwa choo kikuu
 
Neema imeingia sasa Uswazi kwa hii mvua inayonyesha! Ni wakati wa kutoboa vyoo kwa pembeni, na kuflash mavi miferejini! Mbona raha jinsi makimba yanavyo kimbilia mitaani!
 
Back
Top Bottom