Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA

kwanini jeshi la polisi lilikataa kuwa hawahusiki na utekaji wa sheikh faridi wakati waliomteka walijitambulisha ni askar na kumuonesha vitambulisho kabisa suala langu je hapa inamaana kuna vitambulisho feki vya askari na kuna raia wasiokuwa askar ambao wanamiliki silaha za kivita hapa nchini?

kwanini tume ya utangazaji zanzibar ilizuia kabisa taarifa zozote zinazohusiana na uamsho zisitolewe wakati tume ilipotowa tamko hilo ndio siku ambayo alimuachia sheikh faridi hapa je tume walitaka wananchi wanaoishi maeneo ya mbali wasijue kuwa kaachiwa au vipi?

Ni kwanini wamuulize sheikh faridi kuwa anauhisiano gani na sheni na Maalim seif kuhusu suala la kuikomboa zanzibar na kwanini wasimuulize kuhusu baloz seif .....?!

kwa kawaida kila simu inayopigwa au kupigiwa kila mtu kwa sasa kampuni husika inazirikodi ili kuboresha huduma ya mawasiliano lakini cha ajabu masheikh walipokwenda zantel kuuliza kuhusu kupigiwa sim sheikh faridi walitoa rekodi kuwa simu yake imefanya mawasiliano ya mwisho saa kumi na mbili jioni tena na mke wake wakati watu waliomteka amesema sheikh faridi kuwa waliwasiliana hadi saa mbili usiku hapa niwaulize zantel je hawakuweka rekodi yake yakupigiwa sim.
Polisi yawashikilia viongozi wa Uamsho
 
Mkuu, najuta kupoteza muda wangu kusoma hiki ulichokiandika hapa.

Lakini kwa faida yako ili next time ujue namna ya kujenga hoja vizuri, jiulize na ujijibu hayo uliyoyaandika kama ifuatavyo;
a) Una ushahidi gani kwamba alioneshwa vitambulisho? Ulikuwepo wakati huo "alipotekwa"?
b) Kuhusu tume ya utangazaji sina sababu ya ku-comment, lakini kuhusu kuulizwa uhusiano wake na Dk. Sheni na Maalim Seif nayo ni mwendelezo wa (a), kwamba ulikuwepo wakati anaulizwa hayo?

Naona nisiendelee zaidi, ila rai yangu kwako ni kwamba tafadhali pevuka kiakili, usikaririshwe mambo na kuleta ushabiki wa kitoto unaokudhalilisha ukaonekana kama JF si mahala pako.
Nina imani hata mtoto wa form one wa shule za Kata angeweza kukuhakikishia bila shaka yoyote, kwamba huyo Sheikh Farid hakutekwa bali alijiteka ili kupima upepo wa kukubalika kwake. Lakini kwa bahati mbaya kwake (kama wasemavyo waswahili) amechemsha.
 
Kuna ushahidi gani hapo? Hv zimo kwel wewe, yaan ushahidi maneno aliyoyasema yye kuwa alitekwana police, maswal ya kujiuliza .1.vitambulisho nan aliye viona kama yeye aliyejiteka? 2. Baada ya kutekwa kwanin arundi hata tope hana, ulimboka si ulimwona, 3
 
MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA

kwanini jeshi la polisi lilikataa kuwa hawahusiki na utekaji wa sheikh faridi wakati waliomteka walijitambulisha ni askar na kumuonesha vitambulisho kabisa suala langu je hapa inamaana kuna vitambulisho feki vya askari na kuna raia wasiokuwa askar ambao wanamiliki silaha za kivita hapa nchini?

kwanini tume ya utangazaji zanzibar ilizuia kabisa taarifa zozote zinazohusiana na uamsho zisitolewe wakati tume ilipotowa tamko hilo ndio siku ambayo alimuachia sheikh faridi hapa je tume walitaka wananchi wanaoishi maeneo ya mbali wasijue kuwa kaachiwa au vipi?

Ni kwanini wamuulize sheikh faridi kuwa anauhisiano gani na sheni na Maalim seif kuhusu suala la kuikomboa zanzibar na kwanini wasimuulize kuhusu baloz seif .....?!

kwa kawaida kila simu inayopigwa au kupigiwa kila mtu kwa sasa kampuni husika inazirikodi ili kuboresha huduma ya mawasiliano lakini cha ajabu masheikh walipokwenda zantel kuuliza kuhusu kupigiwa sim sheikh faridi walitoa rekodi kuwa simu yake imefanya mawasiliano ya mwisho saa kumi na mbili jioni tena na mke wake wakati watu waliomteka amesema sheikh faridi kuwa waliwasiliana hadi saa mbili usiku hapa niwaulize zantel je hawakuweka rekodi yake yakupigiwa sim.

Punctuation please
 
Kama unaamini kabisa huu ndo ushahidi huna haja ya kukasirika kiasi hichi,
tumieni huu unaoita ushahidi mahakamani wakati wa kesi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo Shehe kajichanganya mwenyewe. Kwanza alisema kuwa alifunikwa uso. Sasa kama alifunikwa uso hivyo vitambulisho vya wana usalama aliwezaje kuvigundua. hapa kuna mswali mengi kwa shehe
 
Ngoja nikale POKU kwa CHUWA.....mleta thread atakuwa na upungufu wa elimu...huwa hauwezi kuwa ushahidi...ndio maana tunawwambia rudini darasani elimu ya madrasa haitoshi!!!
 
Huyu ndo katibu na mtangazaji wa RADIO Imaan walikuwa wanamuoji Farid radio ndo kawapa UTUMBO HUO Eti ushaiidi wa kutekwa!
 
HABARI YAKO IMEKAA KIMAJUNGU MNO!!
HATA SEHEMU UNAZOJARIBU KUZIFANYA USHAHIDI HAZINA MANTIKI!
kWA MFANO:- WATU WANATENGEZA PASSPORT BANDIA HASA ZA NCHI ZENYE NGUVU KAMA MAREKANI, JE WATASHINDWA NINI KUTENGEZA KITAMBULISHO CHA POLISI AMBACHO NI RAHISI ZAIDI KULIKO PASSPORT [EVEN TANZANIAN PASSPORT IS HARD TO FORGE!!]
MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA

kwanini jeshi la polisi lilikataa kuwa hawahusiki na utekaji wa sheikh faridi wakati waliomteka walijitambulisha ni askar na kumuonesha vitambulisho kabisa suala langu je hapa inamaana kuna vitambulisho feki vya askari na kuna raia wasiokuwa askar ambao wanamiliki silaha za kivita hapa nchini?

kwanini tume ya utangazaji zanzibar ilizuia kabisa taarifa zozote zinazohusiana na uamsho zisitolewe wakati tume ilipotowa tamko hilo ndio siku ambayo alimuachia sheikh faridi hapa je tume walitaka wananchi wanaoishi maeneo ya mbali wasijue kuwa kaachiwa au vipi?

Ni kwanini wamuulize sheikh faridi kuwa anauhisiano gani na sheni na Maalim seif kuhusu suala la kuikomboa zanzibar na kwanini wasimuulize kuhusu baloz seif .....?!

kwa kawaida kila simu inayopigwa au kupigiwa kila mtu kwa sasa kampuni husika inazirikodi ili kuboresha huduma ya mawasiliano lakini cha ajabu masheikh walipokwenda zantel kuuliza kuhusu kupigiwa sim sheikh faridi walitoa rekodi kuwa simu yake imefanya mawasiliano ya mwisho saa kumi na mbili jioni tena na mke wake wakati watu waliomteka amesema sheikh faridi kuwa waliwasiliana hadi saa mbili usiku hapa niwaulize zantel je hawakuweka rekodi yake yakupigiwa sim.
 
Ukweli na Uongo anaujua Shekhe Farid na jopo lake, wengine tujitahidi kutokukuruputa kwenye hili.
 
Huyo sheikh wenu alisema alifungwa macho na kitambaa na watu anaodai walimteka walijifunga vitambaa usoni.

Sasa vitambulisho alivionaje wakati alifungwa kitambaa machoni?

Hebu fikirieni jamani kwa kutumia ubongo, It is free!!!
 
LEO NDIO NIMEJUA TOFAUTI KATI YA WAKRISTO NA WAISLAMU ipo hivi" WAISLAMU HUMWABUDU MYAAZI MNGU na WAKRISTO HUMWABUDU MWENYEZI MUNGU''
 
Ni Mahakama ya Kadhi tu ndo inaweza ku Rely kwenye ushahid kama huu Mkuu, upeleke huko Zenj si mna mahakama ya Kadhi
 
Back
Top Bottom