Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 48,928
- 54,150
Wakuu kuna usafiri wa aina kadhaa ktk Dunia yetu,kama nilivyotaja hapo juu. Kuna wakati majira ya mvua nyingi na kali ukiwa kwenye gari huwa hata wiper zinashindwa kufuta kioo vizuri na kumlazimu dereva kupunguza mwendo na ikilazimu kuegesha chombo pembeni mwa barabara kabisa.
Vipi kuhusu usafiri tajwa wao huwa majira ya mvua kali wanafanyaje inapotokea kwa mwongoza chombo kushindwa ona mbele? Najua kuna watu wameshasafiri ktk vyombo vyote na katika hali zote, hebu tufahamisheni inakuwa kama gari una park au safari inaendelea? Karibuni kwa michango tueleweshane wakuu.