Elections 2010 Vyombo vya khabari vyenye ubia na CCM vyaanza kazi.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,426
911,172
Ukisoma magazeti ya leo na baadhi ya TV zenye ubia na serikali ya kifisadi ya JK na CCM yake utaona kuna msukumo wa kukichafua Chadema na hususani Dr. Slaa kuwa ni chama cha wahuni na hawafai uongozi na hivi ni baadhi ya vichwa vya habari vya magazeti hayo:-

RAI:.........."Slaa hafai kuwa Raisi".....................sababu wanayoitaja ni udini na ya kuwa ni mropokaji.

UHURU..........................."Aliyemtusi JK mbaroni...........Chadema kuendelea kumwaga damu Kibaha............mmoja alazwa Hospitali ya Tumbi............

MTANZANIA...................."JK aiteka Mwembeyanga.............Mdahalo wa JK kesho...kujibu maswali ya waandhishi wa habari..........."

Hata gazeti ambalo haliegemei upande wowote la Majira lilishindwa kujizuia hata ikabidi limnukuu kauli hii ya kishambenga ya JK iliyosema ......."JK:Wapinzani ni majuha wa matusi......"

Hizi njama tuliziona mwaka 1995 wakati vyombo vya habari vyenye ubia na CCM vilipowavalia njuga NCCR-MAGEUZI na hususani Bw. Mrema lakini safari hii tunasema........LAKINI SAFARI HII TUNASEMA TENA HATUDANGANYIKI TENA..............
 
Sasa hapo watu wakiambiwa serikali ni ya kishikaji watu hununa,

Ndio haya Mwl. Nyerere alisema, makaburu ni makaburu tu sio wale wa Africa ya kusini hata hapa Tanzania kuna makaburu sio lazima awe mweupe wala wa rangi fulani kwa hiyo kaburu ni kaburu ndio hawa sasa wa vyombo vya habari kuna makaburu humo
 
DU!
 
kiukweli wala sishangai waandishi wa habari wengi ni ma puppet wa serikari na huwa wanaaangalia kula na kuhongwa, nchi za wenzetu kupata habari waandishi hugombania but hapa kwetu waandishi wengi huhongwa ili waandike habari, hii ni mbaya sana na wananchi tusipokuwa makini tutaletewa balaa na hawa waandishi wanao soma kwenye vikoleji uchwara...
but kuna wengine huwa serious n kazi zao na hao tunawapa pongezi kwa kazi nzuri ila hawa wengine utata...
watanzania tuamke sasa tuache ubabashaji na ubabashwaji na serikari na wasio penda ukweli na nchi yetu...
 
Wakuu, inawezekama picha ya pale mwembe yanga hamjaielewa kama hawa jamaa wanavyo papalika, idea ilikuwa ku-shift mambo ya ukabila, udini na umwagaji damu vitu ambavyo imekuwa ni propaganda yao ya hivi karibuni, sasa hawaongelei tena maswala hayo, propaganda imehamia kwenye kutusiwa kwa mgombea wao, hii ndiyo karata yao ya mwisho, galasa....two days to go.

Come on Tanzania!!!!!
 
Mlianzisha propaganda hapa JF na wenzetu wanafuata mtindo huo huo, msilalamike.

Watanzania katika uchaguzi huu hatutaki ukweli na badala yake tumejikita kudanganya wananchi kwa propaganda, uzushi na ahadi zisizotekelezeka.
 
Watanzania huwa hawapendi kuambiwa ukweli wanapenda mtu ambaye atawaongopea na ndicho hicho kilichopo sasa
 
Ukikosoa unaonekana wewe ni mbaya na tena utaambiwa unahatarisha amani ya nchi kwa vile tu umesema ukweli
 
Haya tutaendelea kuyasikia kwani hatuwezi kuzuia masikio yetu kusikia ila aibu itabaki kuwa yao milele cha muhimu ni kwamba haya tuliisha yategemea na tuko tayari kuyasikia na kuyafanyia kazi ila sijui ccm wanataka kumdanganya nani kwani watz walishabadilika na watz wa sasa sio sawa na wale ambao ccm wanawafikiri kuwa ni watu wa kurubuniwa na pesa za epa ambazo kikwete na ccm waliiba ....acha wagawe sana pesa hizo ambazo mimi binafsi zinaniuma sana ...acha wanunue vyombo vya habari km clouds,habari leo, mtanzania,rai,al huuda, al nuur na vijarida vingine vya kiislamu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom