Vyombo vya habari vya Tanzania bara na mfumo kristo: Redio imaan

Status
Not open for further replies.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Wadai vyombo vingi vya Tanzania bara vimejiegmeza zaidi ktk udini badala uhalisia.

Wanasema hii kutokana na vyombo hivyo wahariri na wakuu wake ni wa dini fulani.
wamesema Vyombo vingi vya habari vimegeuza picha ya tukio la Zanzibar kwa manufaa ya dini yao
Kwa mfano wamekimbia kuwahoji wakuu wa UAMSHO huku wakuu hao wakiwa tayari kuzungumza nao.

Lakini wamedai habari nyingi za magaeti ya leo wameonyesha uhalisi mfumo kristo ulivyotawala kwenye vyumba vya wahariri,

Walitahadharisha waislam kuwa macho na vyombo hivi.
 
Walalamishi sana nyie.....kwani ni uongo kuwa makanisa yamechomwa moto....hata hili waulizwe UAMSHO
Juzi tu gazet lenu tena likaandika kituko cha mwaka eti ....NECTA inahujumu shule za kiislam...endelezeni mbwembwe zenu itafikia kipindi watu watawaona machizi tu na kuwapuuza
 
wadai vyombo vingi vya Tanzania bara vimejiegmeza zaidi ktk udini badala uhalisia.
Wanasema hii kutokana na vyombo hivyo wahariri na wakuu wake ni wa dini fulani.
wamesema Vyombo vingi vya habari vimegeuza picha ya tukio Lla Zanzibar kwa manufaa ya dini yao
Kwa mfano wamekimbia kuwahoji wakuu wa UAMSHO huku wakuu hao wakiwa tayari kuzungumza nao.
lakini wamedai habari nyingi za magaeti ya leo wameonyesha uhalisi mfumo kristo ulivyotawala kwenye vyumba vya wahariri
Walitahadharisha waislam kuwa macho na vyombo hivi

wewe ni lazima una matatizo ya kufikiri tene kwa kiwango cha juu sana...tumia zaidi akili kuliko ushabiki wa wazee wachache wanaodanganywa...hili mnalotaka kuanzisha kwa sababu ya kudanganywa na nchi za kiarabu yatawatokea puani kumbukeni nyinyi mko wachache sana masaa 2 tu yanatosha kufanya kusiwa chenu historia....na tabia zenu za ubara na uzanzibar tukianza huku ni saa moja tu mmekwisha...huyu sheikh wenu wa muamsho atumie akili kanisa na madai yenu wapi na wapi? mmelianzisha sasa nisubirini
 
siamini mkiristo akamshinda muislam.
 
mtu yoyote ambaye hajiamini huishia kulalamikia kila jambo zaidi sana huona anaonewa ktk kila kitu, hii inasababishwa na kutojiamini. Malalamiko yamekuwa meng ya udini, watu wanachoma makanisa nataka wasipotiwe wakalipotiwa chombo kilicholipoti kinahusishwa na udini, serikali ya awamu ya 3 ilalamikiwa kwamba iweje rais mkrito na waziri mkuu pia. Hata leo manunguniko yanazid ktk mambo tofauti hata necta sasa ilalamikia kupendelea wakristo! Enyi ndugu zetu mbona wenzenu hawalalamiki? Ni nyinyi tu kila siku? Unawatenda jeuri vyombo vikiripoti jeuri yenu mlalamika! Acheni kutojiamini.
 
Chadema wanalalamika wanaonewa na Polisi. wakiristo wanalalamika Jk ni muislam. sasa nani halalamiki?
 
Shule wakati mwingine inasaidia jamani siyo kosa lao. Kwangu naishi na kijana wa kiislam ambaye hakujaliwa kupata elimu basi story zake zote ni udini kila akiona msanii kwenye TV lazima atake kujua ni muislam au mkristo hadi kero.
 
Bajabiri uko wapi mkuu fundisha hawa watu .KUWA ELIMU KITU MUHIMU SANA
 
Mimi nadhani kuna baadhi ya watu humu digree zao walipata chooni, wewe huoni kuwa kitendo walichofanya Uamsho ni cha kidini?? Sasa Knaisa lina uhusiano gani na Muungano, kama si kinyesi unazungumza nini hapa, nina wasiwasi na akili zako..tatizo lenu waislamu hamuendi shule halafu mnadai kunyanyaswa..Tatizo linakuwa kubwa sana..pale mnapopata kiongozi mkuu wa nchi kutoka kwenye dini yenu..mfano kipindi kile cha Mwinyi mlianza chokochoko na kuchoma maduka ya kuuza nyama za nguruwe..mrema akawakomesha..huwaga hamkawii kulewa uongozi..watu kila siku matatizo tu..fanyeni kazi acheni kusumbua watu na kelele zenu..
 
mtu yoyote ambaye hajiamini huishia kulalamikia kila jambo zaidi sana huona anaonewa ktk kila kitu, hii inasababishwa na kutojiamini. Malalamiko yamekuwa meng ya udini, watu wanachoma makanisa nataka wasipotiwe wakalipotiwa chombo kilicholipoti kinahusishwa na udini, serikali ya awamu ya 3 ilalamikiwa kwamba iweje rais mkrito na waziri mkuu pia. Hata leo manunguniko yanazid ktk mambo tofauti hata necta sasa ilalamikia kupendelea wakristo! Enyi ndugu zetu mbona wenzenu hawalalamiki? Ni nyinyi tu kila siku? Unawatenda jeuri vyombo vikiripoti jeuri yenu mlalamika! Acheni kutojiamini.
 
Kuna methali maarufu sana nchini:WAARABU WA PEMBA HUJUANA KWA VILEMBA.Hivi press zitafaidika nini kwa kureport kuwa kanisa limechomwa kama ni uongo? Media zinareport newsworthy.Je,endapo msikiti utachomwa bara then kukawa na maandamano ya wanaharakati wa Kijinsia...Ni habari gani itapewa kipaumbele na redio Imani? Bar zinamchango wa kiuchumi zenj then,ni mara ngapi redio Imani imewahi kukemea uunguzaji wa bar siyo kwa lengo la kutetea ulevi bali kwa lengo la kuonya waumini wasivunje sheria? Penye ukweli uongo hujitenga.
 
wadai vyombo vingi vya Tanzania bara vimejiegmeza zaidi ktk udini badala uhalisia.
Wanasema hii kutokana na vyombo hivyo wahariri na wakuu wake ni wa dini fulani.
wamesema Vyombo vingi vya habari vimegeuza picha ya tukio Lla Zanzibar kwa manufaa ya dini yao
Kwa mfano wamekimbia kuwahoji wakuu wa UAMSHO huku wakuu hao wakiwa tayari kuzungumza nao.
lakini wamedai habari nyingi za magaeti ya leo wameonyesha uhalisi mfumo kristo ulivyotawala kwenye vyumba vya wahariri
Walitahadharisha waislam kuwa macho na vyombo hivi

sasa kanisa limechomwa moto mlitaka magazeti yaandikeje? mkiambiwa hamjasoma mlalamika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom