Vyombo vya Habari Tanzania: What a shame?

Mwadilifu

Member
Feb 13, 2011
74
20
Inasikitisha vyombo vya nje kuvalia njuga mambo muhimu ya nchi km umeme nasi tuna vyombo vya habari kibao na vinavyojiita huru,nimefurahi BBC kufanya interview na baadh ya Watz(waajiri wakuu) kuhusu mgao huku wakitoa matamko yao kuwa wazir husika ajiuzulu,jambo ambalo hakuna chombo kilichojitoa muhanga kwalo esp. radios na tv stations(wich are much mo accesibo to majorit),je kwa kuitwa mkono wa 4 wa dola basi nao wanashindwa kuwa wazalendo?wakijidanganya kuwa nao ni rulin machine isiyotambulika rasmi?mana kama wangefanya na kuruhusu(kuact) ka forum ya watz hakika muhusika angejiuzulu kitambo kwa kuwa ayo ndo matakwa ya watz(waajiri wakuu)
 
Mkuu,
Hata me nimeshangaa sana coz katika hali ya kawaida ilitakiwa vyombo vyote vya habari vilivalie hili swala njuga!Labda kesho MwanaHalisi na Raia Mwema watatukosha...ngoja tusubiri tuone.
 
Gazeti la Mwananchi leo wameandika kuwa 'walijua kuhusu saga ya Jairo na mchango wa milioni 50 kila idara' ila waliacha kuandika kwa sababu walipata 'maelezo'. Mind you that's the leading swahili daily newspaper!
 
Sitashangaa nikisikia wizara ilikuwa inawahonga wandishi wa habari wasiandike habari zake? ndo maana nasema tume huru inatakiwa iundwe, maana kwa sababu wabunge walikuwa wanata kununuliwa na hatujui ni kwa kiasi gani walikuwa wamefikia. Ili kupata picha halisi na kusafisha huu uchafu tume huru iundwe, lakini sasa hivi Pinda alitakiwa awe ameamuru Ngeleja, Malima , Jairo na Viongozi wote wa juu wa wizara wawekwe ndani na kuhojiwa na vyombo vya dola. Na judge ambaye anaweza kuifanya jkazi hii ya kusimamia uchunguzi anafaa ni Jaji Mfalila.
 
Inasikitisha vyombo vya nje kuvalia njuga mambo muhimu ya nchi km umeme nasi tuna vyombo vya habari kibao na vinavyojiita huru,nimefurahi BBC kufanya interview na baadh ya Watz(waajiri wakuu) kuhusu mgao huku wakitoa matamko yao kuwa wazir husika ajiuzulu,jambo ambalo hakuna chombo kilichojitoa muhanga kwalo esp. radios na tv stations(wich are much mo accesibo to majorit),je kwa kuitwa mkono wa 4 wa dola basi nao wanashindwa kuwa wazalendo?wakijidanganya kuwa nao ni rulin machine isiyotambulika rasmi?mana kama wangefanya na kuruhusu(kuact) ka forum ya watz hakika muhusika angejiuzulu kitambo kwa kuwa ayo ndo matakwa ya watz(waajiri wakuu)
Waandishi wa habari wote tena woooooooooooteee wa Tanzania bado wanaendelea kumlamba miguu mkuu wa kaya kama ile cartoon ya gazeti moja kule Kenya ilivyoonyesha
 
Back
Top Bottom