Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
Ndugu Susuviri,
Je, inawezekana kuwa pengine hata uchangiaji unakwamishwa na uelewa tulionao juu ya ufanyaji kazi wa media in a society? Je, Inawezekana pia ndiyo mapungufu ya jamii yanaoongelewa humu? Je, does the media alter society or the society alters media?
Code Zero hapa nakupa high five! Unajua tatizo ni role of media kutoeleweka kwa jamii. Mi nadhani media ni kama catalyst lakini hatua zinabidi zichukuliwe na wanajamii. Sasa unakuta waandishi wanaandika masuala mengi lakini wakati mwingine hatua haichukuliwi na wahusika. mi naamini hata watu wa upinzani wasingeweza kuwa na sauti kubwa katika jamii kama vyombo vya habari wasingewapa nafasi ya kusikika. I am not saying the mjournalists of Bongo are perfect lakini kufuatana na mazingira waandishi wanajitahidi. Hii kamati ya bunge ya akina Zitto unafikiri ingewezekana kama vyombo vya habari visingekuwa vinaripoti vituko na matukio mbalimbali kama wana CCM kuzomewa na Zitto kupokelewa kwa shangwe. Lakini kazi ya media primarily is to inform, then entertain. In western society hata information has to be through entertainment hence the coined word infotainment. Lakini Bongo bado ni wachanga sana, but changes will not happen overnight.
Mkama, naomba nitofautishe experts na journalists. Akina Gupta ni exception rather than the rule. Yeye ni expert wa CNN kama walivyo some retired generals ambao ni 'terrorism' au 'security' experts kwenye CNN. Waandishi kama Christiane Amanpour na wenzake si professional katika field nyingine but in communications or journalism. Nadhani cha muhimu ni kwamba mwandishi wa habari lazima awe na uwezo wa kuelewa mambo kwa wepesi. You don't have to be an expert but you have to reserch na kufanya background interview kuelewa mada. Then the nitty gritty is not up to you to say, unawaachia wataalam.Ni vizuri kujua CV za waandishi wa habari wa kimataifa.Hivi waandishi wote hapa nchini wanajua kuwa uandishi wa habari ni taaluma pana yenye vipengere na vipera vingi?!.Soma CV ya huyu bwana wa CNN
Sanjay Gupta CV (source
http://www.cnn.com/CNN/anchors_repor...ta.sanjay.html)
Dr. Sanjay Gupta is chief medical correspondent for the health and medical unit at CNN. Gupta, a practicing neurosurgeon and an assistant professor of neurosurgery, plays an integral role in the network's medical coverage, which includes daily packages, the half-hour weekend show House Call with Dr. Sanjay Gupta and coverage of breaking medical news. Based in Atlanta, he also co-hosts Accent Health for Turner Private Networks, provides medical segments for the syndicated version of ER on TNT, contributes health news stories to CNN.com, writes a column for TIME magazine and recently launched a weekly podcast called "Paging Dr. Gupta."
Lakini nakubaliana na KanaKansungu, tatizo ni kwamba uandishi unaonekana ni fani ya watu waliofeli na kukosa nafasi zingine za kazi (a bit like ualimu, maybe a bit more glamorous). Lakini kama una wito, unaweza ku-pursue career in journalism hata ukiwa na division 1! Lakini itachukua some time mpaka watu waelewe hilo.