VYOMBO VYA HABARI NCHiNI TANZANIA SIO HURU???

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,057
1,371
Kwa nini hakuna chombo cha Habari hata kimoja kilichi ripoti Baraza la Iddi lililo Fanyika Mwembe Yanga front page kama lilivyo ripotiwa baraza la Iddi lilo fanyika Mnazi Mmoja?
 
hata mimi naamin vyombo vya habari haviko huru maana wewe unalazimisha vyombo viripoti kisichoweza kuripotika, vipi yame magazeti yenu, radio na TV iman, navyo vilikusussa?!, ukiona hivyo hilo baraza lako la idi halikuwa na mashiko.
 
Kwani Mabaraza ya Idd huwa yako mangapi?

Mabaraza ya iddi yapo mengi kulingana na maaneo. Lakini yalio ripotiwa ni yale tu yanawalazimisha waislamu kuandikishwa sensa.
 
Ahh mnatuzingua tu na nyie kama hamtaki sensa acheni bana watu wana mambo kibao ya kuwaza wawafikirie na migomo yenu ambayo haina kichwa kwanza nyie mnajijua mko wengi coz mnazaa sana sasa si mjihesabu tu wends
 
natabiri ndani ya miaka 15 ijayo kutakuwa na vuguvugu la vita ya wenyewe kwa wenyewe.....kama hali kama hii itaendelea.MUNGU IBARIKI TANZANIA,TUPE AMANI NA UVUMILIVU TUMALIZE HIKI KIPINDI KIBAYA KATIKA HISTORIA YA NCHI YETU
 
hata mimi naamin vyombo vya habari haviko huru maana wewe unalazimisha vyombo viripoti kisichoweza kuripotika, vipi yame magazeti yenu, radio na TV iman, navyo vilikusussa?!, ukiona hivyo hilo baraza lako la idi halikuwa na mashiko.

Wale wale! BAKWATA.
 
natabiri ndani ya miaka 15 ijayo kutakuwa na vuguvugu la vita ya wenyewe kwa wenyewe.....kama hali kama hii itaendelea.MUNGU IBARIKI TANZANIA,TUPE AMANI NA UVUMILIVU TUMALIZE HIKI KIPINDI KIBAYA KATIKA HISTORIA YA NCHI YETU

Popote penye ukandamizwaji, ufisadi na udini. VITA HAVIEPUKIKI.
 
Mabaraza ya iddi yapo mengi kulingana na maaneo. Lakini yalio ripotiwa ni yale tu yanawalazimisha waislamu kuandikishwa sensa.

Kazi ipo.....kwa hiyo hata baraza la Idd la hapa kwetu Ilagala ilibidi lipewe coverage ya vyombo vya habari?
 
Back
Top Bottom