vyeti

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
328
51
habari za asubuhi wakuu.
naomben msaada pakuanzia maana nimepoteza vyeti vyangu,cha chuo na form six.nianzie wapi.
plz naomben msaada wenu wa mawazo maana naamini sana hili jukwaa
 
katoe taarifa kituo cha polisi then ukimaliza nenda katoe taarifa/tangazo kwenye gazeti la serikali na watakuambia tangazo litatoka ktk toleo gani then hilo gazeti likitoka chukua toleo lake nenda NECTA
 
kishalu asante sana.tafanya hivyo.asante sana
 
Nilisikia tangazo lako RFA kuwa umepoteza chet cha f4,f6 UDSM na mzumbe ukiwa unatokea Bukoba, pole sana

mkuu ulipoteza au walikuibia?

ila fuata ushauri uliopewa hapo juu
 
katoe taarifa kituo cha polisi then ukimaliza nenda katoe taarifa/tangazo kwenye gazeti la serikali na watakuambia tangazo litatoka ktk toleo gani then hilo gazeti likitoka chukua toleo lake nenda NECTA

Mkuu asante kwa Taarifa ambayo nami nimenufaika maana nina tatizo kama hilo. Ni namna gani ya kulikia gazeti la serekali mkuu? Na je baada ya haya yote uwezekano wa kupewa vyeti vingine upo au inakuwaje mkuu?
 
Cheti cha chuo unaweza kutengenezewa kingine.Ila NECTA hawatoi cheti kingine.Utapewa statement of results tu!
 
tena hiyo statement of results hupewi mkononi...siku hizi wanatuma kwa taasisi husika moja kwa moja
 
Gazeti la kiswahili mf Habari leo ni 20,000 Tshs, la kiingereza ni 27,000 Tshs. Usisahau kwenda na passport size.

Pia baada ya tangazo lako kutoka kwenye gazeti toa copy, andaa passport size mbili, loss report pamoja na elfu ishirini ya kulipia statement of result. Vilevile utatakiwa kuwa na hela ya kulipia gharama ya kutuma statement result yako mahali unapotaka iende. Pole sana!
 
Back
Top Bottom