Lastname
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 922
- 296
Nilidhani kuwa na vyeti ndio mwanzo mwisho, kumbe dunia ilinigeuza vibaya. Niliogopa hata kuitwa Dr (phd holder) katika some instances kwa sababu nili attract attentions za watu na kubadili matarajio yao toka kwangu, lakini sikuwa na uwezo wa kuonyesha naweza niliongea vitu ambavyo kila mtu anajua, sikuwa na jipya.
Naogopa ninapokuwa na vijana ambao ni bachelor holder ambao wapo proactive kuliko mimi, naogopa kungea english kwa sababu ni mbaya sana haivutii ukiisikiliza pia naogopa kuongea kiswahili kwa sababu watu wengi wapo competent kwenye kiswahili hivyo maswali yanakuwa mengi ya kiuhalisia siwezi jibu. Wishes of my friend akamalizia hivi ningejua ningekazana na jambo moja niweze ku-deliver kuliko kukimbilia vyeti.
Mshaurini wa JF.