Vyeti feki vyuo vya uganda changamoto serikali mpya ya sudan

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Katika mambo yanayoendelea kuwashtua wasudani ni kuongezeka kwa vyeti vya vyuo feki kwa waganda ambao wameingia sudan kwa ajili ya kazi...wakiongea kwa huzuni wanasema ni kweli wengi mnajua tumeanza muda si mrefu tunaitaji watu wenye expirience sasa kuna baddhi ya nchi kama china na marekaniwametupituletea mashine nzuri za kujua vyetii vyenye matatizo na hasa upande wa uajiri tumejotahdi wanaoweza kuajiri wenye vyeti halali na hapo ndipo tunapokutana navyeti vingi vyenye matatizo na kweli imekuwa changamoto kubwa kwenye serikali yetu

src taarifa ya habari radio one
 
Back
Top Bottom