Vyandarua vya msaada ni mbinu ya kuwaandaa wanaume ili wacamerouniwe

mtoto mzee

Member
Nov 10, 2011
38
4
Hivi vyandarua vya msaada vinavyopunguza nguvu za kiume, nimegundua ni mbinu ya kupunguza ama kuondoa marijali Tanzania na Africa, ili lengo la Cameroun la kuwahalalisha wanaume waolewe litimie. ......Tafakari..........Chukua hatua.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Dogo umevamia, hili ni jukwaa la great thinkers.

Kama vipi kakojoe ukalale.
 
Hayo nimawazo potofu kama wewe unahisi hivyo siyo lazima ulalie vyandarua vya msaada madukani kuna nyandarua kutoka nchi mbalimbali nunua. Acha kuambukiza ulembukeni kwa watanzania wenzako.
 
Kaonane na madaktari usisingizie chandarua, una matatizo yanahitaji tiba ya haraka, huo ni ushauri wa bure.
 
Hayo nimawazo potofu kama wewe unahisi hivyo siyo lazima ulalie vyandarua vya msaada madukani kuna nyandarua kutoka nchi mbalimbali nunua .Acha kuambukiza ulembukeni kwa watanzania wenzako.
Wacheni kumkalia kooni huyo dogo.Jiulize hivi watanzania ni maskini wa kushindwa kununua vyandarua wenyewe?.Miaka inavyokwenda mutamkumbuka huyu kijana.
 
Kwa hiyo na wewe unaamini anachosema huyu dogo?
Hivi unajua pathophysiology ya kupoteza nguvu za kiume? Hivi kwanza unamaanisha impotency au infertility? Hivi ni kwa nini watu hamuoni aibu kuonesha hadharani ufinyu wenu wa kufikiria? Au kwa sababu hatuweki majina yetu humu?

Acheni uvivu wa kufikiri. Nendeni mka google muone kama kuna dawa yoyote inayoweza kutiwa kwenye chandarua ikaleta madhara hayo mnayotutangazia hapa.
 
Wewe unaamini sana google.Ukweli wa kuona mwenyewe ni bora kuliko kusubiri uambiwe na google.Kwa maana hiyo mwenye kuamini google ndiye mvivu zaidi wa kufikiri.

Hii leo ukiingia kwenye Google hutoweza kuona sababu ya UN na NATO kumpindua Ghadafi na mengine mengi.Jee wewe kwa akili yako unaamini Ghadafi alikuwa muuwaji zaidi kuliko Bush?.Ukiamini hivyo bora hilo jina lako halisi tusilifahamu kwani utaona aibu kutembea mitaani.

Mimi binafsi siamini kwamba vyandarua vya Bush ndio dawa ya malaria wala siamini kwamba hii ni huruma ya Amerika bali kuna jambo.
 
Kwa karne nenda rudi, misaada yote inayoletwa katika nchi zinazoendelea imeshikizwa na maslahi ya nchi zinazotoa. Yanaweza kuwa maslahi ya Kiuchumi 9kupata urahisi wa mali ghafi n.k.), Kijeshi (kupata sehemu za kuweka majeshi yao n.k.

Kitaaluma (kufyonza elimu fulani n.k.), Kisiasa (kuulinda utawala ulioko madarakani n.k ). Sasa sisi tutafakari kuwa tumepewa msaada wa vyandarua milioni 15, kila kimoja bei yake ni Shs 5,000 hivi, jumla Tshs billioni 95 hivi au US $ 47 millioni.

Kiasi hiki cha pesa Tanzania haishindwi kutoa zake na kununua, ni bei ya kilo 26 tu za dhahabu, kumbuka Tanzania inazalisha tani 42 hadi 48 (Kilo 42,000 hadi 48,000) za dhahabu kwa mwaka ila tu kama Mwl Nyerere alivyoasa huko zamani, kupanga ni kuchagua.

Based on ongoing projects and developing mines, Tanzania's estimated gold reserves have been calculated at a conservative proven gold reserves in excess of 36 Moz (1000 t). Tanzania Gold Mining
 
Kwa hiyo na wewe unaamini anachosema huyu dogo?
Hivi unajua pathophysiology ya kupoteza nguvu za kiume? Hivi kwanza unamaanisha impotency au infertility? Hivi ni kwa nini watu hamuoni aibu kuonesha hadharani ufinyu wenu wa kufikiria? Au kwa sababu hatuweki majina yetu humu?

Acheni uvivu wa kufikiri. Nendeni mka google muone kama kuna dawa yoyote inayoweza kutiwa kwenye chandarua ikaleta madhara hayo mnayotutangazia hapa.

We endelea kubisha kaka,
 
Wewe unaamini sana google.Ukweli wa kuona mwenyewe ni bora kuliko kusubiri uambiwe na google.Kwa maana hiyo mwenye kuamini google ndiye mvivu zaidi wa kufikiri.
Hii leo ukiingia kwenye Google hutoweza kuona sababu ya UN na NATO kumpindua Ghadafi na mengine mengi.Jee wewe kwa akili yako unaamini Ghadafi alikuwa muuwaji zaidi kuliko Bush?.Ukiamini hivyo bora hilo jina lako halisi tusilifahamu kwani utaona aibu kutembea mitaani.

Mimi binafsi siamini kwamba vyandarua vya Bush ndio dawa ya malaria wala siamini kwamba hii ni huruma ya Amerika bali kuna jambo.Iko siku nilijaribu kutumia chandarua hicho nikajihisi kukaukwa na koo na usiku huo huo nikakiondoa.

Sijatumia tena chandarua na nyumba ninayolala iko wazi kila upande,mbu kibao na bado sijafa kwa malaria.Jiulize nani anayewakinga wale vichaa kutokana na malaria na tumbo la kuhara.Wengi wamekufa wao bado wapo.

Kwa upande wako unayeamini hivyo vyandarua tueleze ni dawa gani iliyotumika na inazuiaje mbu kwa miaka mpaka 10 lakini hakuna madhara kwa binadamu.Ikiwa kweli ni mzuri wa kufikiri utajibu suala hili.
Hili sasa neno, Kweli watuambie conditions walizopewa behind these nets. Ila sio hoja ya nguvu za kiume sijui zimefanya nini ambayo haina validit kitaalam.
 
Dogo umevamia, hili ni jukwaa la great thinkers.

Kama vipi kakojoe ukalale.

nadhani wewe ndo huna na hujui critical thinking! Huwezi kubisha pasina kuwa na sababu ya kujitetea. Endelea kutumia vyandarua hivyo. But nimekualarm kwa manufaa yako.

Kasome historia America ilitumia mbinu gani kutokomeza malaria, je walitumia net? .....then Tafakari na uchukue hatua......
 
Sijui kuhusu hilo la nguvu za kiume ila tangu technolojia ya vyandarua vya dawa ilipoletwa nchini na kuambiwa eti hata ukifulia dawa haitoki na inaua mbu kama kawaida sikutamani na wala sijawahi tumia vyandarua hivyo.
 
ni miaka mitano! Hata kwa akili ya kawaida tu, hapo lazima iwe na madhara tena makubwa tu.
 
Chochote kinavyofanywa na serikali ya magamba ni mbinu hakina nia njema na raia bali maslahi binafsi
 
Back
Top Bottom