Vyama vya upinzani vitaleta mabadiliko gani Tanzania?

Sungi

Senior Member
Apr 29, 2009
149
47
Haya ni mojawapo tu ya maswali tuna debate kwenye familia yangu. Mimi na mzee wangu tuna philosophia tofauti kwenye siasa. Wakati yeye aliwahi kugombea ubunge kupitia chama cha CHADEMA uchaguzi mkuu iliopita, mimi mwanae nilimuuliza, ninyi (wa upinzani) mna nini kipya cha kuleta Tanzania? Ni swali dogo lakini linaweza kuwa "dissertation" topic ya graduate student katika political science. Sasa ninyi wa vyama vya upinzani kazi kwenu ... kwanza nani kiongozi wenu? Pili, wengi wenu mliasi CCM na kuingia vyama vingine ...? Nini kipya?
 
Back
Top Bottom