Vyama vya upinzani Barani Africa ni lazima iwe hivi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
morganDM1303_468x395.jpg

latest001pix.jpg

Mbowe.jpg
 
Dhana ya upinzani ni ngeni, bado haijaeleweka vizuri kwa wapinzani wenyewe na kwa Serikali zilizo madarakani. Wengi wa wapinzani wametoka kwenye vyama tawala kwa maana ya Serikali kwa kutokubaliana na viongozi waliokuwa maswahiba wao kwa maana hiyo wanafahamiana kila mtu na mapungufu yake. Aidha, wanakuwa na chuki binafsi kwa sababu ya kutokelewana kulikokuwepo baina yao kabla ya kuachana na kwa maana hiyo kunakuwepo na kulipiziana visasi. Vile vile Serikali zilizo madarakani ni ni matokeo ya Chama au wamelelewa ndani ya chama kimoja na walishazoea kufanya mambo yao bila kuhojiwa, kwa maana hiyo wapinzani wakihoji Serikali zinaona kama wanawakosea adamu.
 
Je na haya yanayofanywa na serikali dhidi ya wananci wake ni halali?

url

url


url


url


The government of Tanzania and its leaders are eligible candidates for the International Court, The Hague for atrocities against its citizen.
 
Je na haya yanayofanywa na serikali dhidi ya wananci wake ni halali?

url

url


url


url


The government of Tanzania and its leaders are eligible candidates for the International Court, The Hague for atrocities against its citizen.
Ocampo should come and establish investigation of these atrocities!
 
Mod, hii ilikuwa kule kwenye jukwaa la siasa, kwa nini umeileta huku? Maana ujumbe wake ni more political nadhani.....
 
Ni kweli hii thready niliipost kwenye jukwaa la siasa lakini hata mimi nashangaa Mod kaileta huku!
 
Back
Top Bottom