Vyama vya siasa vya mfukoni kufutwa - Tendwa

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema vyama vya siasa ambavyo havikui na havina uwakilishi wa udiwani wala ubunge havitashiriki uchaguzi mkuu ujao na vitabadilishiwa usajili na kuwa NGO'S.

Alisema kuwa lengo ni kuondoa ubabaishaji hususan wagombea ambao hujitoa kwenye uchaguzi siku chache kabla ya uchaguzi.

My take; Hamad Rashid na ADC itakuwaje???
 
Back
Top Bottom