Wakuu,wacha nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi ni mwananchama na mpenzi wa CCM,BUT MWENYE LIBERAL MIND.Navikubali vitu vingi baadhi navipinga.
Nimefuatilia mijadala juu ya ufunguaji wa mashina nje ya nchi na sasa naomba tuweke mambo kadhaa sawa ili tujadili vizuri...
1.Swala la matawi ya CCM nje ya nchi si geni kwa CCM,ikumbukwe walikuwa nayo kabla ya mfumo waq vyama vingi kuanza na yalikuwa yakiendeshwa na balozi zetu,bbada ya mfumo kubadilika wakayasitisha kuruhusu mfumo kuwa huru na haki.
2.Mwaka 2006 mwezi wa june JK alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM,katiba ilibadilishwa kuruhusu matawi ya CCM nje ya nchi..(na hili nijibu kwa waliouliza kwanini haikuwa kwa Mkapa).
3.CCM wanaamini katika kuwekeza kwa vijana ndo maana wanabgvandika bandua bila shida,niwajanja kwani wanajua kwasasa chama bila wasomi hakiendi so wanawekeza kwa wasomi,ndio siri ya mkakati huu,nbadfhani kwa ushauri vyamma vingine viangalie utaratibu huu.
4.LAKINI NAKUBALIANA KWAMBA SI WOTE WANAOANZISHA MATAWI WANA NIA NJEMA NA CHAMA HICHI,HAPANA NA HUU NI UKWELI KWAMBA KATIKA MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAPO. LAKINI NAAMINI WAPO WENYE NIA NJEMA...CCM INAHITAJI NEW MIND ILI TUPIGE HATUA MPYA,NJIA MOJA WAPO NI HAWA VIJANA WENYE EXPOSURE ILI WABADILISHE WAKATI HUO VYAMA PINZANI VIKIJIPANGA.
Mimi nimetiwa moyo na hotuba ya kijana Nape ambayo ninayo mdau kanitumia mkiitaka nweza wweka hapa,moja ya mabo kawaambia vijana CCM ina mapungufu mengi yanayohitaji kujadiliwa na kiubadilishwa na vijana,so kama nia ni hii nadhani ni sawasawa....