rwamashugi
Member
- Dec 5, 2011
- 48
- 2
Kumekuwa na Vikundi vyenye mtazamo wa Kijeshi ndani ya vyama vya siasa hapa nchini.Mfano mzuri ni Green Guard,Janja Weed, nk. Mimi sina matatizo na Umoja wa vijana, isipokuwa vikundi hivi ambavyo vinamtazamo wa kijeshi. Je kila chama kikiwa na jeshi lake, matokeo yake ni nini? Vita itaepukika?
Wana janvi mnasema je?
Wana janvi mnasema je?