Vyama vingine mpo wapi ? Asiyejali asili yake ni mtumwa !

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Tumeshuhudia CCM ikiadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwake. Na huu ni utaratibu mzuri wakuadhimisha siku ya kuzaliwa hata kwa wanaadam, kwani yaonyesha ulipotoka, ulipo na unako elekea. Utaratibu huu wakuadhimisha siku za kuzaliwa sijauona kwa vyama vingine. Je ndio kusema hivi vyama vingine havijui hata siku zao za kuzaliwa? Je kitu kidogo kama hicho hawakijui , kweli tukiwapa madaraka yakuongoza dola wataweza ?. Kumbukeni, anaesahau asili yake huyo ni mtumwa
 
Napita tu ngoja niendelee na kazi ila sijui nani kakutuma.
wataz bday zetu zinagharimu fedha nyingi sana tunapoenda
hatupajui ila tulikotoka tunapakumbuka tu
 
Tumeshuhudia CCM ikiadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwake. Na huu ni utaratibu mzuri wakuadhimisha siku ya kuzaliwa hata kwa wanaadam, kwani yaonyesha ulipotoka, ulipo na unako elekea. Utaratibu huu wakuadhimisha siku za kuzaliwa sijauona kwa vyama vingine. Je ndio kusema hivi vyama vingine havijui hata siku zao za kuzaliwa? Je kitu kidogo kama hicho hawakijui , kweli tukiwapa madaraka yakuongoza dola wataweza ?. Kumbukeni, anaesahau asili yake huyo ni mtumwa

Kwako cha maana kutoka kwa chama cha siasa ni sherehe ya birthday. Birthday wakati wale uliomba kuwaongoza wanakufa! Ama kweli wewe ni jini lililoasi
 
Tumeshuhudia CCM ikiadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwake. Na huu ni utaratibu mzuri wakuadhimisha siku ya kuzaliwa hata kwa wanaadam, kwani yaonyesha ulipotoka, ulipo na unako elekea. Utaratibu huu wakuadhimisha siku za kuzaliwa sijauona kwa vyama vingine. Je ndio kusema hivi vyama vingine havijui hata siku zao za kuzaliwa? Je kitu kidogo kama hicho hawakijui , kweli tukiwapa madaraka yakuongoza dola wataweza ?. Kumbukeni, anaesahau asili yake huyo ni mtumwa
Yani umekaa makalio yamekubana, umeona ngoja utoke na hii........

Kwamba uwezo wa kuongoza dola unatokana na jinsi unavyoweza kukumbuka siku ya kuzaliwa?
Kwamba, kukumbuka siku za kiuzaliwa ni utamaduni wetu? labda wa kwako na babako mdogo!!

Unamuona huyu? yeye anakiu........Muoneeni huruma, pelekeni miradi ya maji vijijini, acheni anasa za kijinga, kipumbavu na kiwenda wazimu!!

5235999.jpg
 
Back
Top Bottom