Vyakula vyenye maumbile sawa na "INSHU ZA WABABA"...

Du! Soko la wale ndugu zetu wanaouza dawa za nanii hii liko hatarini!
 
mmmmh hivi he wengi hawana nguvu eeee.... Poleni sana tutawavumilia tu hivyohivyo msiende kwa wagangaaaaaaa msieeeeendeeeeee by tiptop connection
 
mmmmh hivi he wengi hawana nguvu eeee.... Poleni sana tutawavumilia tu hivyohivyo msiende kwa wagangaaaaaaa msieeeeendeeeeee by tiptop connection

alafu nyie mnaende kwa vibeberu wa nje!..ryt?
 
vyakula hivi vifuatavyo vinafanana sana na U-UME...nasikia vinasaidia sana pia katika maswala ya NGUVU za KIUME...JE unafahamu hivyo?au hata zaidi ya hapo!

Mbona Ndizi sizioni hapa, au macho yangu yameanza kupoteza uwezo wake
banana.jpeg
 
Back
Top Bottom