Vyakula vipi vinarudisha utelezi wa kwenye magoti(joints)

naombeni kujuzwa ni vitu gani vinavyo sababisha magoti kukosa utelezi na kutoa sauti pindi nichuchumaapo au nikiikunja miguuyangu?

Na vilevile nahitaji kujuzwa ni vyakula aina gani nikila vitanisaidia kurudi katika hali yangu ya kawaida?


Pole mkuu, tafuta product moja ya GNLD inaitwa FULL MOTION, ni bei kubwa kidogo lakini ni kiboko ya njia hizo kelele kwenye magoti zitakwisha inarudisha ute haraka sana.
 
mkuu kisugujira

musipo amini endeleeni kulila Shauri Yenu. Bamia unapolila wewe Mwanamme linakuregeza mishipa ya nguvu za

kiume ni Zuri Bamia kula Mwanamke akila mwanamke Bamia sana linamfanya kiuno chake kiregee na makalio

yake ya nyuma yawe yanatingishika sasa mkuu unataka na wewe makalio yako ya nyuma yawe yanatishingika
kama Mwanamke??[/COLOR]

Hahaha,......kwa hiyo wanaume wanaokula bamia sana makalio yao yamelegea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom