Vyakula na vinywaji vilivyoadimika

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Tupia majina ya vyakula na vinywaji vilivyoadimika. Naanza: kibogold, thekick, thebingwa, ugaliwayanga, bulga.
 
1. Burger na Pizza (Tandale kwa Mtogole)

2. Cheese (Manzese kwa Mfuga Mbwa)

3. HotDog (Manzese uwanja wa Fisi)
 
mafuta ya uto,mabumunda,furu,mabungo,zambalau(sio zambarau),icecrem za kwenye vifuko(af raha yake ilikuwa kumegeana kwa meno)
 
Madame B unakumbuka vibalagala. vilikuwa vinatengenezwa kwa unga wa muhogo na ndizi. . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom