Vyakula gani unapenda kula na vyakula gani unavikosa kutokana na mazingira

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana Jf,
Mimi binafsi nakula mara mbili kwa siku asubuhi nakunywa uji wa Ulezi na Viazi au Mihogo, usiku napenda sana Ugali wa Muhogo na Samaki Kolekole, na chakula nachokimiss ni supu za Sangara..endeleza na wewe mkuu
 
Mimi napenda sana katles za samaki pono, Hahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom