VW polo for sale

MAFIA

New Member
Dec 5, 2009
4
1
nauza VW polo ya mwaka 2001,km 114000,silver color,cc1600.imeingia tanzania mwaka 2010 june bado mpya.bei milioni6 maongez yanaruhusiwa.piga 0755943446.
 
Wewe, wewe, wewe, isijekuwa imetoka japani jana na mionzi ya nuke, utatuulia vijana wetu.
 
Hii nadhani ni product ya Jarumani, ila bei yake mbona kama iko chini sana,, napata mashaka...

mwanawane, nami mashaka yangu yako hapo, expectation yangu ni kuwa bei ingekuwa juu kidogo.........
 
Km ni nyingi, uzuri umesema maongezi yanaruhusiwa wenye kuitaka watakutafuta.
 
Back
Top Bottom