VW Passat For Sale

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
Wanajamii nauza gari yangu VW Passat Model ya mwaka 2001. Gari hili limeingia Tanzania January 2011. Bei 12M. For serious buyers gari liko Dar kwa atakayehitaji kuiona just PM.

Features zake ni pamoja na Engine 2000cc, full time 4WD, AC, CD changer, New Tyres na liko katika hali nzuri sana!
 
Attachments

  • 180027_1796029587979_1456914331_1884933_138444_n.jpg
    180027_1796029587979_1456914331_1884933_138444_n.jpg
    28.2 KB · Views: 137
  • passat.jpg
    passat.jpg
    27 KB · Views: 105
  • VW.jpg
    VW.jpg
    46 KB · Views: 114
Wanajamii nauza gari yangu VW Passat Model ya mwaka 2001. Gari hili limeingia Tanzania January 2011. Bei 12M. For serious buyers gari liko Dar kwa atakayehitaji kuiona just PM.

Features zake ni pamoja na Engine 2000cc, full time 4WD, AC, CD changer, New Tyres na liko katika hali nzuri sana!
hapo kwenye redi sio mchezo kitu lazima kinyonye wese sana tu

Mkuu hii gari ni quite economical kwa gari za range yake. I drove it for a distance of almost 700km on a single full tank which is very cost effective.
Kwa aliye serious please get in touch through PM we can discuss further.
 
Gari bado iko sokoni, serious buyers just PM and I'll give you my contacts tuongee bizness!

Very good car, the fuel consumption is superb, the ride is magnificent very comfortable vehicle...
 
Wanajamii nauza gari yangu VW Passat Model ya mwaka 2001. Gari hili limeingia Tanzania January 2011. Bei 12M. For serious buyers gari liko Dar kwa atakayehitaji kuiona just PM.

Features zake ni pamoja na Engine 2000cc, full time 4WD, AC, CD changer, New Tyres na liko katika hali nzuri sana!
kaisafishe kwanza ndiyo uweke picha.
 
kwa nini unaiuza,tupe confident genuine reason.............mileage ni vp??????

Hii gari naiuza cos nimepata gari lingine la kutumia, infact napunguza idadi ya magari kwenye parking yangu. Gari halina tatizo lolote, mileage kwa sasa ni 80,000km.

If you are interested tunaweza panga tukutane wapi uione.
thnx
 
Back
Top Bottom