Vuvuzela!

Ngoja leo nikamtesti waifu kwa kumuita vuvuzela. Msiponiona hapa jamvini kesho mjue mambo yameshaharibika...........
 
Lilyflower my dear, jabulani means happiness...put in context mpira unotumika huko south umewaletea wengie happiness, ndipo ukabatizwa jabulani

...shishi, nimekodoa macho karibia yageuke kengeza, ...ni hina hii au? mnh acha weee.
Vipi maisha ya ndoa so far, raha ee? yaani ingekuwa inawezekana, kila baada ya miezi sita ningekuwa na renew certificate!.. (I hope mijitu haita ni quote vibaya)
 
Ngoja leo nikamtesti waifu kwa kumuita vuvuzela. Msiponiona hapa jamvini kesho mjue mambo yameshaharibika...........

...ha ha, yaani umuite Vuvuzela bila sababu? Goodluck bro.
Mimi nimeamua kununua la ukweli ukweli, akianza tu kelele zake nalipuliza.....'vuuuuuuuuuuuuu!'
Wanawake wengine kelele zao ni kama za wale mbu wa maskioni, hata uwa ignore vipi unakereka tu!
 
hapana jamani, nimecheka mpaka kichomi...auwiiii kuna watu mna visa jamani.
 
Ngoja leo nikamtesti waifu kwa kumuita vuvuzela. Msiponiona hapa jamvini kesho mjue mambo yameshaharibika...........

mkisemwa ohhh wanawake cjui vuvuzela, kumbe unachokoza wenyewe, naomba akutie ngeu kabisa.
 
Mimi nafikiri yule mama mwenye nyumba naye ni vuvuzela, kama ndio hivyo.
 
[SIZE=3 said:
Mbu[/SIZE];960273] yaani ingekuwa inawezekana, kila baada ya miezi sita ningekuwa na renew certificate!.. (I hope mijitu haita ni quote vibaya)

:ballchain:

Mimi nimeamua kununua la ukweli ukweli, akianza tu kelele zake nalipuliza.....'vuuuuuuuuuuuuu!' :director: Wanawake wengine kelele zao ni kama za wale mbu wa maskioni, hata uwa ignore vipi unakereka tu!
...

:lol:
 
Ni kumkosea mkeo adabu kumuita "vuvuzela" na nyie mnao waita wake zenu hivyo lazima hamna mapenzi nao, kama una mapenzi na mkeo hata awe na kelele kiasi gani hutozisikia kwani hizo kelele badala ya kuwa karaa zitakeuka kuwa kiburudisho...

Nyie mna waona wakezenu kama mavuvuzela kwa kuwa upendo ndani ya nyumba hakuna,laiti ungekuwepo usinge muona kuwa ana kelele.
jaribuni kutafuta suluisho la matatizo yenu kwenye nyumba na siyo mna ya kimbia kwa kwenda Bar kunywa na kuanza kusema Wife ana kelele kama vuvuzela..

Kwanza nyie mnao waita wakezenu mavuvuzela ina wezekana nyie ndio wale wanaume mnao fungwa na wake zenu, maana wife ana kujulisha majukumu yako nyumbani una muona kama vuvuzela.

Siku hizi Bongo 40% ya wanaume walioko kwenye ndoa wana wategemea wake zao kwa kila kitu.Sasa tusubiri kuolewa kabisa.
 
Thanks so much MGANYISI, pole mimi ni mchaga ndo maana nikatamka hifyo. Waelese hao :dance: maana hawaelewi hata kidogo lanyee. Bora wewe mwanaume mwenzao uwapashege habari. THANKS A MILLIONS OF TIMES FOR YOUR USEFULLY POST.
 
si bora vuvuzela mke unaweza kumchapa na chips na mishkaki kelele zikaisha? kuna mivuvuzela ya kukoroma usiku ndugu yangu! mtu uko nyumba moja au chumba cha nane lakini kelele kama vyura
 
ni kumkosea mkeo adabu kumuita "vuvuzela" na nyie mnao waita wake zenu hivyo lazima hamna mapenzi nao, kama una mapenzi na mkeo hata awe na kelele kiasi gani hutozisikia kwani hizo kelele badala ya kuwa karaa zitakeuka kuwa kiburudisho...

Nyie mna waona wakezenu kama mavuvuzela kwa kuwa upendo ndani ya nyumba hakuna,laiti ungekuwepo usinge muona kuwa ana kelele.
Jaribuni kutafuta suluisho la matatizo yenu kwenye nyumba na siyo mna ya kimbia kwa kwenda bar kunywa na kuanza kusema wife ana kelele kama vuvuzela..

Kwanza nyie mnao waita wakezenu mavuvuzela ina wezekana nyie ndio wale wanaume mnao fungwa na wake zenu, maana wife ana kujulisha majukumu yako nyumbani una muona kama vuvuzela.

Siku hizi bongo 40% ya wanaume walioko kwenye ndoa wana wategemea wake zao kwa kila kitu.sasa tusubiri kuolewa kabisa.

ubarikiwe kwa post yako murua mganyizi
 
Ni kumkosea mkeo adabu kumuita "vuvuzela" na nyie mnao waita wake zenu hivyo lazima hamna mapenzi nao, kama una mapenzi na mkeo hata awe na kelele kiasi gani hutozisikia kwani hizo kelele badala ya kuwa karaa zitakeuka kuwa kiburudisho...

Nyie mna waona wakezenu kama mavuvuzela kwa kuwa upendo ndani ya nyumba hakuna,laiti ungekuwepo usinge muona kuwa ana kelele.
jaribuni kutafuta suluisho la matatizo yenu kwenye nyumba na siyo mna ya kimbia kwa kwenda Bar kunywa na kuanza kusema Wife ana kelele kama vuvuzela..

Kwanza nyie mnao waita wakezenu mavuvuzela ina wezekana nyie ndio wale wanaume mnao fungwa na wake zenu, maana wife ana kujulisha majukumu yako nyumbani una muona kama vuvuzela.

Siku hizi Bongo 40% ya wanaume walioko kwenye ndoa wana wategemea wake zao kwa kila kitu.Sasa tusubiri kuolewa kabisa.

....hehehe...Mganyizi, karibu sana JF....jungu kuu hili, halikosi ukoko!
Kufugwa una maana kulelewa nini? salaaaale... sasa asipokulea mkeo utalelewa na nani bana?
maisha yenyewe mafupi haya.
  • kama kulelewa ni kumfulia mke, ruksa
  • kama kulelewa ni kumtandikia mke, ruksa
  • kama kulelewa ni kumpikia mke ruksa
  • kama kulelewa ni kumkabidhi mshahara mke apange bajeti, ruksa
  • kama kulelewa ni kugeuzwa 'tape recorder' na mke, ...hapana bana!... huo ni unyanyasaji kisaikolojia!
 
...........Kuna baadhi ya wanaume ndio wanasababisha wake zao kuwa vuvuzela, hebu msikilize mkeo kwa utulivu uone kama ataendelea kuvuvuzela.
 
kwamba vuvuzela na mdomo wenye kubwabwaja kupitiliza? duh yaani kiingiacho mjini....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom