Vuvuzela lampasua koo mnadada!

Yaani hii Vuvuzela sasa imakuwa balaa ndo maana wazungu walianza kuipigia kelele mapema wakijua madhara yake.
Pole sana kwa dada haya watuachie sisi wabongo ......
...Lakini FL1 hizo avatar zako sijui kuna hata moja inafanana na wewe au vipi? Hao wadada wanakuwa watamu sana kama huyu wa sasa hizo lips mi mpaka nahisi usingizi....nikizipata hizo kwa dakika 10 tu hizo mh!:A S tongue::pound::A S tongue:..Nilidhani ni lile vuvuzera lingine......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom