Vuvuzela lampasua koo mnadada!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Hii habari imenifanya nifikirie sana. Hivi huyu dada alikuwa na ugomvi na hili vuvuzela? Haiwezekani kweli kulipuliza kwa raha bila karaha na ukatoka mwenye furaha? Naamini wakati mwingine watu wanaumiza mataya na makoo kwa sababu hawajui jinsi ya kupuliza vuvuzela vizuri au inavyopaswa na wanataka kujifanya wanasarakasi au wana mmbwembwe.

article-1287631-0A1864DE000005DC-324_233x658.jpg

Habari yenyewe iko sehemu fulani, for it is not that important (google "vuvuzela's first victim) au soma kwa undani HAPA

Lakini ujumbe kuwa siyo nguvu bali utaalamu unahitajika.
 
Thanks for the link. When I saw your posting I thought it was double entendre because you started sounding in the same way you do when you describe interesting staff in your stories.
 
Mkjj kweli wewe ni mchambuzi.,huko ulikotupeleka nimekutana na ya mtoto wa michael na vitiligo du...
 
Thanks for the link. When I saw your posting I thought it was double entendre because you started sounding in the same way you do when you describe interesting staff in your stories.

well.. you never know.. ur probably on the right track..
 
Atakuwa alikosea kulipuliza,ukitaka litoe sauti bila kutumia nguvu sana unaweka upande wa kushoto au kulia wa mdomo siyo tu mdomoni huku ukitumia pumzi kali..
Idumu daima :horn::horn::horn::horn:
 
ukiona hivi, basi takwimu za watakao kuwa wamejinyea kwa kujitutumua wakijaribu kupuliza mivuvuzela ni wengi... ila zimefichwa tu! lol
 
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:

---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!
 
kama wangeweka kila kitu open lol hiz vuvuzela zitakuwa zimewaharibu wa2 vibaya mno!!!!!
 
Hii habari imenifanya nifikirie sana. Hivi huyu dada alikuwa na ugomvi na hili vuvuzela? Haiwezekani kweli kulipuliza kwa raha bila karaha na ukatoka mwenye furaha? Naamini wakati mwingine watu wanaumiza mataya na makoo kwa sababu hawajui jinsi ya kupuliza vuvuzela vizuri au inavyopaswa na wanataka kujifanya wanasarakasi au wana mmbwembwe.

article-1287631-0A1864DE000005DC-324_233x658.jpg

Habari yenyewe iko sehemu fulani, for it is not that important (google "vuvuzela's first victim) au soma kwa undani HAPA

Lakini ujumbe kuwa siyo nguvu bali utaalamu unahitajika.

...eeeeh? ehhee he hee...he!

Atakuwa alikosea kulipuliza,ukitaka litoe sauti bila kutumia nguvu sana unaweka upande wa kushoto au kulia wa mdomo siyo tu mdomoni huku ukitumia pumzi kali..
Idumu daima :horn::horn::horn::horn:

...eweeeee?!!!, yaani alitakiwa afanye kama analimumunya vile? ama hili vuvuzelaaaaa...aaaaaah!
Akili hainipi kuukubali ukweli jamani, aah ngoja tu nikalale.
 
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:

---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!

...nimecheka mpaka nimepaliwa!
 
Mbona ipo kwenye jukwaa la mapenzi???Au mi ndo natakiwa niipe tafriri hii habari!?
 
ukiona hivi, basi takwimu za watakao kuwa wamejinyea kwa kujitutumua wakijaribu kupuliza mivuvuzela ni wengi... ila zimefichwa tu! lol

teh teh teh!!!!! Steve Dii, yaani nimecheka mpaka dah! nikapaliwa mie koh koh koh!!!! U just made my day.
 
Steve, utatuua kwa vicheko bora tuuliwe na vuvuzela...duh hii kali
 
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... Wee acha tu! Hatuchelewi kuanza kusikia:

---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!

lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:

---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!
dah!,bro umenifanya nicheke sana,afadhali maana wiki nzima hii sijacheka kicheko cha ukweli
 
Yaani hii Vuvuzela sasa imakuwa balaa ndo maana wazungu walianza kuipigia kelele mapema wakijua madhara yake.
Pole sana kwa dada haya watuachie sisi wabongo ......
 
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:

---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!

Duu kweli we unaakili...mwandishi wa habari nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom