Vuta picha ya mnyukano wa kumpata kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni 2015

IRINGA MOJA

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
503
229
Ukizoea vya kunyongwa hakika utapata shida sana kula vya kuchinjwa, hebu mwana JF mwenzangu na mpenda mabadiliko hebu vuta picha ya namna nafasi ndogo tu ya uongoz ngazi ya kitongoji kwa ccm inavyogombewa na kutawaliwa na rushwa !!!

Itakuwaje nafasi hii adimu ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na uroho wa madaraka mixer mazoea ya kula vya kunyongwa kwa CCM?

Hakika Hawa jamaa watapata shida kwanza watakuwa wachache kwani majimbo mengi mwaka huu ni mali ya UKAWA kwani CHADEMA, LOWASSA na UKAWA ni zaidi ya upepo kwani wamefanya ghafla watanzania wengi na kwa pamoja tuongee sauti moja dhidi ya CCM na udharimu waliotufanyia miaka nenda rudi.

VIVA UKAWA 2015
 
Atakuwa Tysoni Wassira,maana wakati wa midahalo ya katiba mpya Lukuvi aliwahi kusema Wassira ni jembe lao.Na kama si huyo basi watamweka wakala wao ZZZZZZK,maana nae aliwahi kunukuliwa akisema baada ya uchaguzi atakuwa kiongozi mkubwa.
 
Ndio mjiulize sasa na huyu mmasai ataenda wapi?
maana ikulu hatupeleki genge la wahuni na waroho wa madaraka.
 
Wanazani bungeni ni sehemu ya kufanyia uhuni,watashughulikiwa tu.

Ndoroooobo wewe, acha kujitoa ufaham yani jitu zima unashabikia upuuzi na ukandamizaji wa spika bungeni na kwa taarifa yako iyo tabia mwisho bunge lililopita bunge lijalo ccm wapinzani
 
Ndoroooobo wewe, acha kujitoa ufaham yani jitu zima unashabikia upuuzi na ukandamizaji wa spika bungeni na kwa taarifa yako iyo tabia mwisho bunge lililopita bunge lijalo ccm wapinzani

wanafiki cdm tushawajua rangi zao.
 
Kwenye mchuano kama Ndugai ataingia nawashauri wengine wajitoe maana jamaa anaweza kuua mtu.
 
Ukizoea vya kunyongwa hakika utapata shida sana kula vya kuchinjwa, hebu mwana JF mwenzangu na mpenda mabadiliko hebu vuta picha ya namna nafasi ndogo tu ya uongoz ngazi ya kitongoji kwa ccm inavyogombewa na kutawaliwa na rushwa !!!

Itakuwaje nafasi hii adimu ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na uroho wa madaraka mixer mazoea ya kula vya kunyongwa kwa CCM?

Hakika Hawa jamaa watapata shida kwanza watakuwa wachache kwani majimbo mengi mwaka huu ni mali ya UKAWA kwani CHADEMA, LOWASSA na UKAWA ni zaidi ya upepo kwani wamefanya ghafla watanzania wengi na kwa pamoja tuongee sauti moja dhidi ya CCM na udharimu waliotufanyia miaka nenda rudi.

VIVA UKAWA 2015

Achana na magamba, tuelekeze nguvu zetu tuyang'oe kwanza
 
Na ndicho kilichobaki ikiwa ukawa wataleta wapumbavu wao bungeni

Mkuu bora ungerudi shule ,unam-quote mtu tofauti na maelezo yake,maana hakuna Ukawa waliochapana fimbo zaidi ya ccm kwa Naibu spika wenu kumpiga ccm mwenzie mpaka kazimia,nae jembe lenu,mwenyekiti wa kuandika ilani ya ccm 2015 Tyson[Wassira] kampiga m/kiti wake mdogo,sipati picha ikiwa mwandishi wa dira na mwelekeo wa chama kinachoitwa kikubwa na sikivu kukosa ustaarabu na utovu wa maadili kwa kiwa kikubwa namna hii,aandike dira ya kuwaletea Watanzania zaidi ya miln 46,sasa wapumbavu ni nani? Mnang'ang'ania madaraka kiasi kwamba hata wenzenu wa chama kimoja hamtaki wapate uongozi.Mnatufanya Wtz wooote mapoyoyo,kudadadeki mwaka huu patachimbika,mmezoea vya kunyonga.Mwenyezi Mungu kawapiga upofu,MMECHAGUA KUFULI,FUNGUO WAMEICHUKUA UKAWA,hamtoki mwaka huu,mtabakia humohumo.
 
Back
Top Bottom