Vurugu zilizotokea Zenji ni mbinu ya kulichafua kundi la uamsho na hoja ya muungano

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Kuna taarifa ambazo hazija thibitika kuwa vurugu zilizo tokea kule Zanzibar ziliandaliwa maksudi na wanao taka hoja ya muungano isijadiliwe wala kushika kasi kama ilivyo sasa.Kwa hiyo wana jamvi kuweni makini sana mnapo jadili jambo hili manake ni mtego umeandaliwa kupotezea hoja ya muungano.
 
Ndiyo hivyo! vijogoo wa dunia kama US, UK na washirika wao hawataki kuona Zanzibar ikiangukia mikononi mwa waraabu! Na kama unakumbuka siku ile IGP na Dr Nchimbi walitia timu na mabalozi au wawakilishi wao kutoka nchi tajwa. Kwa upande mwingine, wanangangari wanaona ndiyo dawa pekee itakayowafanya watawale huko, vinginevyo hawana chao 2015.
 
Back
Top Bottom