Vurugu zazuka tena Rungwe

Kapo Jr

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
996
280
Wana jf,pametokea vurugu kupelekea barabara ielekeyo malawi, eneo la Tukuyu kufungwa kwa muda na wananchi baada ya wafanyakazi wa TRA kutaka kukamata gari ya mkazi mmoja hapa Tukuyu,alieamua kuondoa gari tra wakaanza kumfukuzia na defender nusura wagonge watu hivyo kuamsha hasira kwa wananchi wakafunga barabara.polisi wamefika kuona uma umechachamaa wameondoka,kaja mkuu wa wilaya Crispin Meela kubaini kosa kwa meneja wa tra,hivyo kawaomba wananchi wapunguze hasira. My take TRA wakwepaji wa mapato ni vigogo mnawafaham wafuateni kuliko hawa wajasiliamali waliopigika
 
Hao wananchi wamekosea wangelichoma motob
hilo gari la T.R.A
 
sasa nyie mnaotaka nchi iwe na barabara za juu,lami kila mahala,madawati shuleni,vitabu vya kusoma,umeme na maji then leo hii mnawasupport wakwepa kodi haa hasha mie sikubaliani na nyie ila tushirikiane katika kupambana na wakwepa kodi hasa hawa wanaodai msamaha wa kodi ili tujenge nchi yetu
 
Ni reflection ya hasira za wananchi kujua kuwa kodi zao wanazotoa hazina tija kwenye maisha yao. Wanaokwepa kodi ni wafanyabiashara wakubwa na hawakamatwi hata kama hawajulikani
 
sasa nyie mnaotaka nchi iwe na barabara za juu,lami kila mahala,madawati shuleni,vitabu vya kusoma,umeme na maji then leo hii mnawasupport wakwepa kodi haa hasha mie sikubaliani na nyie ila tushirikiane katika kupambana na wakwepa kodi hasa hawa wanaodai msamaha wa kodi ili tujenge nchi yetu

Tatizo kodi wanatoa watu maskini tu! zungumzia na misamaha ya kodi basi!
 
Wewe unaesema wananchi tunahitaji maji barabara za lami madawati pamoja na huduma zinginezo bora halamu tunawapongeza wakwepa kodi hivi wewe una akili timamu kweli hebu fikiria tokea tumeanza kulipa kodi hizo zinafanya kazi gani kwani kwa sisi walipa kodi tuna uchungu sana na fedha zetu tunazolipa halafu watu wachache wanazikumbatia hatuoni faida yake kwa taifa hilo linatuumiza sana tunapoona raia anafanyiwa hivyo
 
sasa nyie mnaotaka nchi iwe na barabara za juu,lami kila mahala,madawati shuleni,vitabu vya kusoma,umeme na maji then leo hii mnawasupport wakwepa kodi haa hasha mie sikubaliani na nyie ila tushirikiane katika kupambana na wakwepa kodi hasa hawa wanaodai msamaha wa kodi ili tujenge nchi yetu

Serikali inawanyonga wanyonge(wajasiriamali)kwa kuwadai kodi kubwa lakini mapapa(wawekezaji-ktk madini na sekta nyingine)inawaogopa kwa kutotoza kodi kabisa/au kutoza kodi kiduchu unaona usawa hapo?Huduma zenyewe muhimu(elimu bora/afya bora/miundombinu bora)hatuzipati inavyopaswa kuzipata kutokana na kodi zetu tunazokatwa kila uchwao Leo hii uniambie niipende Serikali,,,,never!!.
 
ndo tuwajibike kuwabana na hao wenye misamaha ya kodi ili nao wapate kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi

Walio madarakani(Viongozi wa Serikali)wameshindwa kuwabana hao wawekezaji unataka sisi tulio nje ya ulingo tufanyeje?Acha kuwapumbaza watu hapa.
 
waliomadarakani wamewekwa na nani( si sisi wenyewe) basi tutumie nzia zile zile tulizowaweka kuwaondoa
 
sasa nyie mnaotaka nchi iwe na barabara za juu,lami kila mahala,madawati shuleni,vitabu vya kusoma,umeme na maji then leo hii mnawasupport wakwepa kodi haa hasha mie sikubaliani na nyie ila tushirikiane katika kupambana na wakwepa kodi hasa hawa wanaodai msamaha wa kodi ili tujenge nchi yetu

Fallier

F
 
Waende migodini
 
Ngali akisengile kimo po bhalumanye!! kwani si ujinga tunataka!?
 
Hao wananchi wamekosea wangelichoma motob hilo gari la T.R.A
Mkuu hilo sio gari la TRA, ni gari lako, gali lao na gari langu pia, dawa ni kuwachapa viboko tu, kama alivyofanya yule Mkuu wa wilaya? kule Bukoba
 
Hii nchi imekuwa ngumu, ningekuwa na uwezo ningekamata japo kwa mwaka mmoja mngenyooka tatizo siasa nyingi kila kona ? Waelimisheni wananchi umuhimu wa kodi kwanza and then watakuja wenyewe kulipa
 
sasa nyie mnaotaka nchi iwe na barabara za juu,lami kila mahala,madawati shuleni,vitabu vya kusoma,umeme na maji then leo hii mnawasupport wakwepa kodi haa hasha mie sikubaliani na nyie ila tushirikiane katika kupambana na wakwepa kodi hasa hawa wanaodai msamaha wa kodi ili tujenge nchi yetu

Mkuu hizo hasira sio za kodi ni kutokana na uonevu wa serikali ya JK na chama chake CCM kwa watu wa Mbeya kuwatesa na kupanga kuwaua. Walianza na Mwakyembe, kafuatia Ulimboka, mie naelewa kwanini wame react hivyo nikiwa pia natoka kabila za huko. Chuki ya Mbeya kwa serikali ni kubwa tena ina historia ndefu. Miaka ya tisini afisa wa TRA aliuwawa eneo la Airport ni baadhi tu ya matukio yanayoashiria chuki baina ya serikali (CCM) na Mbeya
 
waliomadarakani wamewekwa na nani( si sisi wenyewe) basi tutumie nzia zile zile tulizowaweka kuwaondoa

Hakuna kura za watanzania zilizowahi kuiweka serikali ya ccm madarakani hata Kama tungepiga kura watanzania wote na tukachagua upinzani bado zitachakachuliwa tu kwa njia yeyote ile.
 
ningekuwa mimi ni mkuu wa wilaya ningepewa tu hizo taarifa ningesema LIWALO NA LIWE
waache wananchi watoe hasira zao
 
Hakuna kura za watanzania zilizowahi kuiweka serikali ya ccm madarakani hata Kama tungepiga kura watanzania wote na tukachagua upinzani bado zitachakachuliwa tu kwa njia yeyote ile.

sasa wewe unashauri nini
 
Back
Top Bottom