Vurugu zatokea mbeya jana wakati wa kufunga kampeni za udiwani

kwamagombe

Senior Member
Aug 25, 2009
154
42
[h=3]Kampeni Mbeya Watu Wajeruhiwa,[/h]Wana JF nimezikuta picha na taarifa hizi kwenye mjengwa blog, kama kuna mwenye taarifa rasmi tunaomba atuhabarishe, ikiwa ni kata gani, ni mkutano upi na maeneo gani
Nawasilisha


Watu hawa, Kada wa CCM na Askari Polisi wamepopolewa kwa mawe siku ya kufunga kampeni Momba, Mbeya
 
Ni habari mbaya na ni kwa nini yote haya? Au policcm ndiyo walioanzisha kama kawaida yao?
 
Kazi nzuri maana watu wamechoka kubuzwa na hili lipo wazi kuwa ushirika mkubwa wa CCM na hii imepelekea jeshi hili hata kuonekana ni kama nacho nichama cha siasa ambacho mshirika wake ni CCM so huwa wanasaidiana CCM akiona amezidiwa anamwita cha cha PoliceCCM kije kutoa support,safi sana kuwapopoa hawa wendawazimu.
 
Back
Top Bottom