Vurugu zatokea Chang'ombe Dar...

Status
Not open for further replies.

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu aliye eneo la tukio kuwa kuna vurugu kubwa zinaendelea eneo la Chan'ombe Dar. Vurugu hizo inasemekana zinahuzisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.

Vurugu zipo katika eneo linalomilikiwa na waislamu pale Chang'ombe, ambapo inasemekana kuwa kuna mgogoro kati ya pande mbili za waislamu.

Mabomu yameendelea kurindima na inasemekana hali ni tete sana.

Nitawajuza pindi nikipata taarifa zaidi.

************
MODERATOR:
JF imefuatilia na kubaini kuwa zilitokea purukushani za hapa na pale lakini SI MABOMU na hata hivyo FFU walishaondoka eneo la tukio.
 
Mh ipo kazi, sasa hivi kazi ya police ni kutuliza ghasia kila kona ya tz.lol!
 
huo utakuwa uzushi tu. waislamu ni watu wa amani siku zote na wakati wowote. kwanini wagombanie kiwanja? kwani kimekuwa cha urithi??

Nimepata taarifa kutoka kwa mtu aliye eneo la tukio kuwa kuna vurugu kubwa zinaendelea eneo la Chan'ombe Dar. Vurugu hizo inasemekana zinahuzisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.
Vurugu zipo katika eneo linalomilikiwa na waislamu pale Chang'ombe, ambapo inasemekana kuwa kuna mgogoro kati ya pande mbili za waislamu.

Mabomu yameendelea kurindima na inasemekana hali ni tete sana.

Nitawajuza pindi nikipata taarifa zaidi.
 
Vurugu hizo zinahusiana na habari zilizowekwa hapa?

https://www.jamiiforums.com/habari-...mjue-sheikh-ponda-issa-ponda-na-kundecha.html

Nimepata taarifa kutoka kwa mtu aliye eneo la tukio kuwa kuna vurugu kubwa zinaendelea eneo la Chan'ombe Dar. Vurugu hizo inasemekana zinahuzisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.

Vurugu zipo katika eneo linalomilikiwa na waislamu pale Chang'ombe, ambapo inasemekana kuwa kuna mgogoro kati ya pande mbili za waislamu.

Mabomu yameendelea kurindima na inasemekana hali ni tete sana.

Nitawajuza pindi nikipata taarifa zaidi.
 
Hapo Chang'ombe wakristo tukalinde makanisa yetu maana wao utashangaa wana hamia kwenye makanisa yetu
 
Sheikh Ponda hajala chakula! Hao waislam wa chang'ombe wampelekee ubwabwa nyama atafurahi sana.
 
waachwe waangamie hawa jamaa sijui dini yao inawafundisha maadili gani, utafikiri mahubiri yao ya ijumaa ni kama watangaziana vita, Polisi wangewaacha tu hii mijutu iuane maana wanatuchafulia nchi yetu bure.
kwani nini lakni kila sehemu yenye vurugu duniani lazima waislam wawepo? Hii si dini ni ugaidi tu
 
Ujinga kwa dini utatuharibia Utanzania wetu uliotukuka. weka dini hizi za kigeni pembeni bana
 
Mh ipo kazi, sasa hivi kazi ya police ni kutuliza ghasia kila kona ya tz.lol!

Said Mwema kawapa mwongozo kuwa kwa kila raia 1,300 Kuna askari mmoja............ I hope you get his point......................turn out in numbers and w wil be overwhelmed
 
Jamani viongozi wa makanisa maeneo ya Temeke hizo vurugu ni danganya toto kaeni macho. Sitaelewa kama makanisa yatafanyiwa tena vurugu kwani polisi wameshajua janja za wahuni hawa halafu wasiweke ulinzi wa kutosha. Mchezo huu ukiachwa uendelee iko siku wataazisha sababu ya uongo halafu wachome ikulu.
 
Bwana atawapigania; nanyi mtanyamaza kimya. Hua naupenda sana huuu mstari.
 
Nchiyangu Tanzania unakoelekea ni wapi ,Raisi wangu JK mbona mbona unatuachiamambo yaajabu ambayo hatujawahi yaona nchini ?

Mungu tuokoe na hili janga
JK tutakukumbuka kwakutufikisha hapa
 
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu aliye eneo la tukio kuwa kuna vurugu kubwa zinaendelea eneo la Chan'ombe Dar. Vurugu hizo inasemekana zinahuzisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.

Vurugu zipo katika eneo linalomilikiwa na waislamu pale Chang'ombe, ambapo inasemekana kuwa kuna mgogoro kati ya pande mbili za waislamu.

Mabomu yameendelea kurindima na inasemekana hali ni tete sana.

Nitawajuza pindi nikipata taarifa zaidi.

taarifa hizo zimeshathibitishwa kuwa za kweli? hali sasa hivi ikoje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom